Bofloooo, usidanganye!

Nimeipenda sana hiyo machine lkn du kwa hapa TZ mbona itaumbua wengi sana
 
Hapa tz lazma itaoperate vise versa...mana tulivo waongo itacopy na tabia zetu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Hiyo mashine inabidi iletwe hapa Bongo ili tuitumie kwa viongozi wa CCM na serikali yao.
 
Mashine kama hii ingewafaa sana polisi waache kuwasulubu raia wasio na hatia,na wawashike watuhumuwa wanaosema uongo,Kwa wale waliowahi kufikishwa kwenye kituo cha polisi nadhani watanielewa..
 
We acha tu umenikumbusha kitu hapa..... hizi mashine wao wanaziamini si mchezo.... they are innovative for sure..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom