boflo na preta wametishajeeeeeeeee

mi naona wamefunika,adi watu pemben wameonyesha kukubali
 
Kama sikosei hii walikua Matongee Club hapa Arusha!

 
loo boflo umeua huo sio ubinuaji eee mmmmmmh
 
Huyu binti kajitahidi kuwa na kwapa safi....angalizo msianze kujichunguza na kusikitika kimya kimya.....
 
Bibie Preta hapo humwambii kitu anatomboka tu, alikuja kabeba mtoto kwenye hiyo ngwasuma lakini sijui mtoto kamkabidhi MadameX wa mwisho kabisa upande wa kulia...
 
Last edited by a moderator:
Mandela aka Sura mbaya, frontline dancer wa Twanga...
 
Wemependeza sana!!!

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
Boflo hiyo t shirt imeandikwa k kwa nyuma manake nini
 
Boflo mie Mokasini yako tuuu...si mchezo. Vunja mifupa kama bado meno ipooooooooooooooooooooo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…