Boflo Mtaalam wa Chabo

Bujibuji King'amuzi (macho yake) anachotumia ni nomaa... Kinatoa picha za mnato, kinaweza kuweka mwendo wa pole pole, kinachukua picha mtembeo... hahahahaaa... Na kinatunza kumbukumbu... Watoto wa boarding (hasa form ones waliotoka bush) kwenye shule za mchanganyiko (in late 1990's) ndo ulikuwa ugonjwa mkubwa sana kwao
 
Last edited by a moderator:
Hicho king'amuzi ni noma sana. Kinanasa moja kwa moja kutoka kwenye tukio, hakiitaji msaada wa satellite kudadadeki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…