Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Kulya umeua bendi
Bujibuji King'amuzi (macho yake) anachotumia ni nomaa... Kinatoa picha za mnato, kinaweza kuweka mwendo wa pole pole, kinachukua picha mtembeo... hahahahaaa... Na kinatunza kumbukumbu... Watoto wa boarding (hasa form ones waliotoka bush) kwenye shule za mchanganyiko (in late 1990's) ndo ulikuwa ugonjwa mkubwa sana kwao
..pia kina uwezo wakutoa picha za HD...hahahahaha..na pia ni PVRHicho king'amuzi ni noma sana. Kinanasa moja kwa moja kutoka kwenye tukio, hakiitaji msaada wa satellite kudadadeki
Bujibuji na Kipaji Halisi hii imekaaje?
![]()
..hii kiboko mkuu..chabo from high angleBujibuji na Kipaji Halisi hii imekaaje?
![]()
Safari_ni_Safari, hivi mabinti hawapigagi chabo?
Mbona kila picha naona ni wanaume tu?
Natamani sana kujua kilichokuwa kikiendelea humo ndani
Fact.........
![]()
Hapo anazidi kujisogeza binti aliko, binti akishtuka tayari Boflo yuko ziro distensi