Boflo Jaribu Hii Kama Utaweza

Ataweza, ila atatafuta balaa
 
Aiseeeee Babaaaaaangu weeeeeeeee!!
 
Sio kwamba hicho kiti kimegundishiwa hapo??
 
Kifizikia hiyo kitu haiwezekani.
Ila kichawi au ki'photoshop hiyo kitu inawezekana kabisa.
 
na kama inawezekana katika mazingira ambayo binaadamu wa kawaida anaweza kuona basi inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…