Boeing to take Pilots out of the Cockpit with self flying Planes.

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,506
2,000

Kevin McAllister, chief executive of Boeing jetliner business.

Ndege zilianza na Pilots watatu na kupunguzwa kufikia wawili, lakini Boeing ina mpango wa kutengeneza self flying planes za kuanza mwakani, ambapo ndege zitaruka, kukaa angani na kutua bila kuwa na Pilot..

The world's largest airplane manufacturer held a briefing today ahead of the Paris Airshow to detail its plans for a pilot-free cockpit run entirely by computers. Existing autopilot technology can already handle every stage of flight except takeoff and taxiing, and Boeing says the largest challenge to a fully-automated plane is getting the system up to strict aviation safety standards.

That's a little optimistic-pilots don't just kick back with a cold one when the computer is in control-and Boeing's vice president of product development Mike Sinnett admits they're not exactly sure howto put all the pieces together yet. But the company will be doing simulator work this summer with the hopes of taking its tech to a real-life test plane as early as next year..

Boeing studies pilotless planes as it ponders next jetliner
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,111
2,000
Hii inashangaza kidogo!! Mbona watu weledi wanajua kwamba kampuni ya Boeing ime-install software za siri kwenye ndege zao, software/apps zinaweza kuwa envoked remotely na kampuni ya Boeing anytime wakihamua kufanya hivyo, lengo la apps hizo ni ku-override ma-Pilot na Autopilot system za ndege zao wakaziongoza wao wenyewe wakiwa ofisini (Washington Seattle) zinaongozwa remotely kama DRONES vile, Pilots kwenye ndege wanapokwa uwezo wa kufanya lolote wanabaki kama watazamaji tu, hivyo ndege hiyo inaweza kupelekwa popote Duniani na kufanya lolote wapendalo, ni Nchi chache zinazo jua ukweli huu - ndege ya Boeing y Malaysia iliyokuwa imebeba wanasanaysi mahili wa Kichina kwenye masuala ya silaha kali na ICT ilipotea kwenye mazingira hayo hayo - hijacked by remote control na kuwa ditched Indian Ocean a cream of Chinese Scientists wiped out like a candle flame in the wind!!

Ndiyo maana kwa muda mrefu ndege za Boeing zinazo nunuliwa na Wachina au Warusi zikifika Nchini mwao Interior trims wanazi strip to bare bones kuangalia wiring systems na devices zilizofichwa kwenye airframe, vile vile wana retrofit navigation system ambazo ziko-customised na mainjinia/programmers wao, hawanunui ndege za Boeing na kuanza kuzitumia immediately/right away bila ya kuzikikagua kwa kina/kiundani kwanza.

Labda Boeing wangesema wanataka kuziongezea uwezo wa ku-land na ku-take off (maanake kwenye usafiri wa anga phases hizo mbili ndiyo critical zaidi) bila ya msaada wa binadamu hapo ningewaelewa, lakini hili la kuongoza ndege by remote control wakiwa aridhini na kuipeleka popote watakako bila ya kutegemea pilot, uwezo huo wanao sana na wanautumia wakitaka kuangamiza abiria ambao ni tishio kwa usalama wao au kiongozi ambaye hawamtaki kama akipanda ndege iliyo wekewa mitambo tajwa hapo juu wataisababashia ajali kwa kuitumbukiza kwenye Bahari au kuibamiza kwenye Milima.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,191
2,000
... hili la kuongoza ndege by remote control wakiwa aridhini na kuipeleka popote watakako bila ya kutegemea pilot, uwezo huo wanao sana na wanautumia wakitaka kuangamiza abiria ambao ni tishio kwa usalama wao au kiongozi ambaye hawamtaki kama akipanda ndege iliyo wekewa mitambo tajwa hapo juu wataisababashia ajali kwa kuitumbukiza kwenye Bahari au kuibamiza kwenye Milima.
Duh! Kumbe ndio maana kiduku hajawahi kuvuka mipaka ya nchi yake tangu awe kiongozi mkuu. Wangeshamchimbia baharini huko.
 

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
13,852
2,000
Jibu linaweza kufahamika lakini mtu bado unajiuliza, kwani wenzetu wanatuzidi nini haswa ambacho kinatufanya tuwe nyuma wakati tuna kila aina ya Mali ghafi.
Miafrika inawaza kuiba na rushwa tu.. Wakipata pesa wanawaza kutom.b@na tu, awe mwanaume au mwanamke.. Maendeleo ni constructive thinking..
 

wise123

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,369
2,000
Jaman nimeingilia katikat ya mada naomben mnijibu mtoto wa mwezi mmoja ukisafir na ndege na yeye anakatiwa ticket nijibun please
ndio c binadam na
Jaman nimeingilia katikat ya mada naomben mnijibu mtoto wa mwezi mmoja ukisafir na ndege na yeye anakatiwa ticket nijibun please
hapana hawalipi (7days_23month lap child) ila kuna vimasharti vingine vingi vingi kulingana na nchi mnayoelekea kwa local nathani ni simple tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom