Boeing to take Pilots out of the Cockpit with self flying Planes.

Hii inashangaza kidogo!! Mbona watu weledi wanajua kwamba kampuni ya Boeing ime-install software za siri kwenye ndege zao, software/apps zinaweza kuwa envoked remotely na kampuni ya Boeing anytime wakihamua kufanya hivyo, lengo la apps hizo ni ku-override ma-Pilot na Autopilot system za ndege zao wakaziongoza wao wenyewe wakiwa ofisini (Washington Seattle) zinaongozwa remotely kama DRONES vile, Pilots kwenye ndege wanapokwa uwezo wa kufanya lolote wanabaki kama watazamaji tu, hivyo ndege hiyo inaweza kupelekwa popote Duniani na kufanya lolote wapendalo, ni Nchi chache zinazo jua ukweli huu - ndege ya Boeing y Malaysia iliyokuwa imebeba wanasanaysi mahili wa Kichina kwenye masuala ya silaha kali na ICT ilipotea kwenye mazingira hayo hayo - hijacked by remote control na kuwa ditched Indian Ocean a cream of Chinese Scientists wiped out like a candle flame in the wind!!

Ndiyo maana kwa muda mrefu ndege za Boeing zinazo nunuliwa na Wachina au Warusi zikifika Nchini mwao Interior trims wanazi strip to bare bones kuangalia wiring systems na devices zilizofichwa kwenye airframe, vile vile wana retrofit navigation system ambazo ziko-customised na mainjinia/programmers wao, hawanunui ndege za Boeing na kuanza kuzitumia immediately/right away bila ya kuzikikagua kwa kina/kiundani kwanza.

Labda Boeing wangesema wanataka kuziongezea uwezo wa ku-land na ku-take off (maanake kwenye usafiri wa anga phases hizo mbili ndiyo critical zaidi) bila ya msaada wa binadamu hapo ningewaelewa, lakini hili la kuongoza ndege by remote control wakiwa aridhini na kuipeleka popote watakako bila ya kutegemea pilot, uwezo huo wanao sana na wanautumia wakitaka kuangamiza abiria ambao ni tishio kwa usalama wao au kiongozi ambaye hawamtaki kama akipanda ndege iliyo wekewa mitambo tajwa hapo juu wataisababashia ajali kwa kuitumbukiza kwenye Bahari au kuibamiza kwenye Milima.
Mmmh hii shule kubwa.
 
Mkuu!!!!!
Inawezekana ikawa yeye... Kwa sababu wakati naongea nae face to face... Mwisho akaweka maneno ya ki-JamiiForums... "Mkuu" ikabidi nimulize kama yeye ni mtumiaji wa JF akasema ndiyo... Ila sijamuliza ID yake..
 
Hahahaah sssssssssshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Hiyo ndio akili mkubwa; sio road license mnapeleka kwenye mafuta ya taa halafu mnashangilia kwa nderemo eti "ubunifu". Huwa nachukia sana.
Mkuu kwetu hilo la M/Vehicle licence ni bonge la ubunifu, next year tunaanza tena kulalamika na kusahau makofi nderemo na vifijo tulivyopiga.
 
Computer zinatupeleka pabaya binadamu-nimewahi ona driverless car likiwa majaribioni,I could not believe what I was seeing.Hata ukienda bank hakuna mhudumu-computer zinamaliza shuguli yako.Au umepoteza atm card yako and you need money,unapiga simu wanakuelekeza the nearest atm na unapewa muda maalum-you just rush,unakey pin yako and hey presto cash inatoka
 
Bora nianze safari zangu mwaka huu na nizimalize kabisa, mambo yakuendeshwa na softwares&robotic system NOPE, simu zenyewe tuu hizi zinakuwa hacked na kufa kwa virus...je kuhusu uhai oouh ouuh, "cant bet for ma life"
 
Nini maana ya Kiwanda? Tatizo tuna ellimu duni dana na hii ni sababu ya kwenda shule kusomea mitihani.

Cherehani 4 yes ni kiwanda ambacho mwenye hizo cherehani anaweza fikia hatua ya kuwa na mashine kubwa kabisa.
Acha utani mkuu, kwa dunia ya leo unasema cherehani 4 ni kiwanda, hatuko serious hata kidogo. Watu wanaongelea nanotechnology!!!!!
 
Duh! Kumbe ndio maana kiduku hajawahi kuvuka mipaka ya nchi yake tangu awe kiongozi mkuu. Wangeshamchimbia baharini huko.

Kiduku kasoma Ulaya (Uswiss) anajua mambo mengi, anazungumza lugha za kigeni zaidi ya moja - anapanda ndege zilizo hundwa Urusi na anajua kuziendesha, msimchukulie dogo poa ni kiongozi mahili sana licha ya umri wake mdogo, kumbuka aliingia madarakani akiwa na umri wa miaka 26 tu akawaondoa madarakani Viongozi wote legelege including ma General wa jeshi, sina shaka mnakumbuka kisanga kimoja alicho toa amri ya kumunyonga Generali aliye bainika akisinzia wakati Kim anatoa hotuba au maagizo akiwa kwenye kambi ya jeshi, Kim aliwagiza Generali auwawe kwa kutumia triple A i.e (A.A.A) silaha ya kutungulia ndege!! Aliwahi kumunyonga mjomba wake kama sikosei, mapema mwaka huu aliwatuma majasusi wa kike wakamvizia Kaka yake aliye kuwa uhamishoni wakafanikiwa kumpuliza sumu ya kibailojia akiwa ndani ya uwanja wa ndege wa malaysia au Singapore sikumbuki vizuri, baada ya kupuliziwa sumu haikichukua muda Kaka yake Kim akafariki Dunia - kisa? Kim alipata habari za kuaminika kwamba Kaka yake anatumiwa na Nchi za magharibi kujaribu kufanya mpango wa kumpindua Kim ndiyo maana yeye akamuwahi - Kim moto wa kuotea mbali hana mchezo.

Kuhusu safari za nje utembelea Urusi na Uchina unannounced (kimya kimya) upendelea sana kusafiri kwa Train, akitumia anga upenda kuendesha ndege mwenyewe!! Hayo ndiyo baadhi ya maajabu ya DOGO.
 
Mbona hakuna AJABU lolote hayo yote kawaida tu.
 
Back
Top Bottom