Boeing to take Pilots out of the Cockpit with self flying Planes.

sizani kama hilo linawezekana 100%....kuna critical issues zinazokuwa involved pindi ndege kubwa hasa ya abiria inapokuwa Angani na pilots ndo hutumia uwezo wa kibinadamu kukabiriana na changamoto hizo with guidance from Air traffic controller. issues kama landing, take off, altitude range navigation na dhoruba nyingi za Angani zinategemea uwepo wa Rubani kukabiliana nazo.
 
Hii inashangaza kidogo!! Mbona watu weledi wanajua kwamba kampuni ya Boeing ime-install software za siri kwenye ndege zao, software/apps zinaweza kuwa envoked remotely na kampuni ya Boeing anytime wakihamua kufanya hivyo, lengo la apps hizo ni ku-override ma-Pilot na Autopilot system za ndege zao wakaziongoza wao wenyewe wakiwa ofisini (Washington Seattle) zinaongozwa remotely kama DRONES vile, Pilots kwenye ndege wanapokwa uwezo wa kufanya lolote wanabaki kama watazamaji tu, hivyo ndege hiyo inaweza kupelekwa popote Duniani na kufanya lolote wapendalo, ni Nchi chache zinazo jua ukweli huu - ndege ya Boeing y Malaysia iliyokuwa imebeba wanasanaysi mahili wa Kichina kwenye masuala ya silaha kali na ICT ilipotea kwenye mazingira hayo hayo - hijacked by remote control na kuwa ditched Indian Ocean a cream of Chinese Scientists wiped out like a candle flame in the wind!!

Ndiyo maana kwa muda mrefu ndege za Boeing zinazo nunuliwa na Wachina au Warusi zikifika Nchini mwao Interior trims wanazi strip to bare bones kuangalia wiring systems na devices zilizofichwa kwenye airframe, vile vile wana retrofit navigation system ambazo ziko-customised na mainjinia/programmers wao, hawanunui ndege za Boeing na kuanza kuzitumia immediately/right away bila ya kuzikikagua kwa kina/kiundani kwanza.

Labda Boeing wangesema wanataka kuziongezea uwezo wa ku-land na ku-take off (maanake kwenye usafiri wa anga phases hizo mbili ndiyo critical zaidi) bila ya msaada wa binadamu hapo ningewaelewa, lakini hili la kuongoza ndege by remote control wakiwa aridhini na kuipeleka popote watakako bila ya kutegemea pilot, uwezo huo wanao sana na wanautumia wakitaka kuangamiza abiria ambao ni tishio kwa usalama wao au kiongozi ambaye hawamtaki kama akipanda ndege iliyo wekewa mitambo tajwa hapo juu wataisababashia ajali kwa kuitumbukiza kwenye Bahari au kuibamiza kwenye Milima.
Kali na mpya hii! Hebu naomba source mkuu!
 
Back
Top Bottom