Bodyguard napatikana

mudy92

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
669
520
Wasalaam....

Kijana umri miaka 27, mrefu nina Shahada ya kwanza, Nimepata mafunzo ya awali ya kijeshi naomba mwenye kuhitaji personal bodyguard asisite kunitafuta.....

Wasifu wangu nitakupa ukiridhia
 
Do you real know the meaning of bodyguard? Can you really cover up the body of your boss and even take the bullet instead of them?
Kwahiyo wewe ni bodyguard au only a personal security???!!
 
Dogo mbona kijana mwenzako Hamonaiza alitangaza ajira ya bodyguard au hukusikia?

Au wewe ndio Muddy Muzungu
 
Unauwezo gani katika matumizi ya silaha, portable na sophisticated.?
Unauwezo gani kwenye sanaa ya mapigano.?
Unauwezo wa kuongea lugha ngapi za ndani na kimataifa?.
Urefu wako, Rangi na uzito.?
Unauwezo wa kukimbia km ngapi bila kupumzika?
Unajua kuogelea? na uwezo wa kurescue kwa maana ya kuokoa watu wawili labda na zaidi deep sea?
Una records zozote za uhalifu au kukaa jela?
Unatatizo lolote la kiafya? au historia ya Afya yako?

Ndio Interview yenyewe hiyo mkuu inaanzia hapa?
 
Do you real know the meaning of bodyguard? Can you really cover up the body of your boss and even take the bullet instead of them?
Kwahiyo wewe ni bodyguard au only a personal security???!!
Put a cash on table and the rest is my duty.....
 
Unauwezo gani katika matumizi ya silaha, portable na sophisticated.?
Unauwezo gani kwenye sanaa ya mapigano.?
Unauwezo wa kuongea lugha ngapi za ndani na kimataifa?.
Urefu wako, Rangi na uzito.?
Unauwezo wa kukimbia km ngapi bila kupumzika?
Unajua kuogelea? na uwezo wa kurescue kwa maana ya kuokoa watu wawili labda na zaidi deep sea?
Una records zozote za uhalifu au kukaa jela?
Unatatizo lolote la kiafya? au historia ya Afya yako?

Ndio Interview yenyewe hiyo mkuu inaanzia hapa?
-Uwezo wangu ktk matumizi ya silaha ni portable
-nakimbia kilometa 16 bila kupumzika
-Kuogelea najua
-lugha 2 tu kimombo na kiswahili
-Uwezo wa sanaa ya mapigano ni wa kawaida Niko fit
 
Image result for funny bodyguard gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom