Bodyguard napatikana

Bodyguard napatikana

yani ushuzi mwingine ata haufai kusikiliza...unajua martial arts .?unajua kutumia silaha kama visu..panga na jambia..? una body nzuri..?hahaahaaa au kujua kufyatua magobole ndo unahisi unafaa kua mlinzi..?ofcourse gigy money anaweza kuajiri maana threats kwake sio kubwa
 
Wasalaam....

Kijana umri miaka 27, mrefu nina Shahada ya kwanza, Nimepata mafunzo ya awali ya kijeshi naomba mwenye kuhitaji personal bodyguard asisite kunitafuta.....

Wasifu wangu nitakupa ukiridhia
Kuna Mama anatakaga Sana mabodi , ila ukimnjunji tu, malipo yako yameyeyika. Na Hilo la njunji ndio hitaji lake kubwa
 
Wasalaam....

Kijana umri miaka 27, mrefu nina Shahada ya kwanza, Nimepata mafunzo ya awali ya kijeshi naomba mwenye kuhitaji personal bodyguard asisite kunitafuta.....

Wasifu wangu nitakupa ukiridhia
Unajua kuendesha gari?VIP driving?unajua mbinu za mapigano,mikono na miguu,close quarter combat
 
Back
Top Bottom