mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,469
Si uanze na riadha sasa kama una mambio yote hayo-Uwezo wangu ktk matumizi ya silaha ni portable
-nakimbia kilometa 16 bila kupumzika
-Kuogelea najua
-lugha 2 tu kimombo na kiswahili
-Uwezo wa sanaa ya mapigano ni wa kawaida Niko fit