Bodyguard napatikana

Bodyguard napatikana

Unauwezo gani katika matumizi ya silaha, portable na sophisticated.?
Unauwezo gani kwenye sanaa ya mapigano.?
Unauwezo wa kuongea lugha ngapi za ndani na kimataifa?.
Urefu wako, Rangi na uzito.?
Unauwezo wa kukimbia km ngapi bila kupumzika?
Unajua kuogelea? na uwezo wa kurescue kwa maana ya kuokoa watu wawili labda na zaidi deep sea?
Una records zozote za uhalifu au kukaa jela?
Unatatizo lolote la kiafya? au historia ya Afya yako?

Ndio Interview yenyewe hiyo mkuu inaanzia hapa?
Hana tatizo kubwa anamshono wa busha tu na tatizo la macho
 
Watanzania wengi sijui uelewa ni mdogo? Sijui ni kutokua serious? Yaan nashangaa mtu anaandika uzi mzuri kwa ajili ya msaada/ sapoti ila wadau wengine mnaleta mambo yenu tofauti kabisa
 
Hiyo ni silaha ya mwisho kujihami, Natumia Visu, mapanga na hata Silaha za moto ukiweza nipatia....
Nikajua unatumia mikono, kumbe visu, mapanga na silaha za moto. Hivi kwa mfano ukiwa kwenye msafara wa Diamond utabeba hayo mapanga yako ?
 
Kila mtu achunge mzigo wake masuala ya kukaliana nyuma nyumba hatuyapendi
 
Back
Top Bottom