Body Language

Hilo ni fumanizi tu hamna jingine na huyo jamaa biology yake itakua mali ya huyu Mama baunsa
 
Hiyo type ya Nyonyo zake zetu (enzi za Mwl) tulikuwa tunaiita SIMBA CHAI...Ashaikhum si matusi
 
Wamemuudhi nini super Nyambizi?

Omba MUNGU nyambizi hiyo isikuzamishe!!!

Kufa kwa kukosa HEWA (suffocation) ni moja ya vyanzo tarajiwa vya kifo chako..Kwenye magazeti ya Shigongo itasomeka: ALIFIA MANYONYEONI baada ya kukosa hewaπŸ™‚
 
Kama ni ugomvi tayari mama kisha chukua ubingwa, dawa ni mbaya wake akimbie tu ili kujinusuru
 
Omba MUNGU nyambizi hiyo isikuzamishe!!!

Kufa kwa kukosa HEWA (suffocation) ni moja ya vyanzo tarajiwa vya kifo chako..Kwenye magazeti ya Shigongo itasomeka: ALIFIA MANYONYEONI baada ya kukosa hewaπŸ™‚
Yaani mbona itakuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…