Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?


Nice guy kama nyie ndio mnaambulia kupata single mothers,wanawake walishindikana na malaya wastaafu
 
Wahuni sio watu wazuri! Walipita nayo😂 body count mwezi wangu wa kuzaliwa toa 6
Hapo sasa sijui! Usiwaite wahuni, ni stage tu katika maisha lazim mtu apitie, it's totally normal.
 
Enzi za ujana wangu nimefanya sana fujo. Sitaki kukumbuka wala kutunza takwimu za dhambi zilizopita. Huu umri wa miaka 45 unatosha sasa kutulia na mama mkubwa wetu. Nashukuru kupiyanga kote Mungu alinivusha sala na tayari nimebarikiwa bibi na watoto watano (wa kike moja na wa kiume 4). Sasa hivi nasomesha (from II. Form I, class V, class II na Class I) na nakula maisha na mama yenu mkubwa. Okokeni kama mimi nyie vijana; Ukimwi upo na dhambi ni chukizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…