Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

Ezmet

Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
57
Reaction score
248
Habari wana jamii forums
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?

For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote ulipo tambua nakusubri kijana mpole na mwenye hofu na mungu
 
Uncountable....

Nimepiruka vizingiti vingi sana...

Nimepitia ups and down za kutosha...

Nimejionea kila aina ya pus*y

Hakuna utakalonidanganya kwenye 6x6...

Handling ya sex kwa man mwenye body count nyingi ni tofauti na mwenye body count chache...

Ila ushauri tu kwa wanaume wenzangu, PLAY SAFE, HIV/AIDS IS REAL AND IT WILL DRY OUT YOUR FUTURE.
 
这只是一个

20240522_170637.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Habari wana jamii forums
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?

For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote ulipo tambua nakusubri kijana mpole na mwenye hofu na mungu
Mimi nadhani najaza Yutong 5 na coster mbili
 
Habari wana jamii forums
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?

For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote ulipo tambua nakusubri kijana mpole na mwenye hofu na mungu
Ukiondoa marehemu 14 walioko hai wanafika 532
 
Kuna siku nilikuwa namchakata na nikamuulizia baada ya tendo Mimi ni wangapi kwako akasema wewe ni wa 667… nikamuuliza umenijuaje number hiyo akasema huwa anaandika kwenye note book yake kila anaye mchakato, na akanionesha pia .. yaani stim ziilisha pale pale sikutaka Tena kuendeleza bao la pili na Tangu muda huo sikutaka tena kuulizia Hilo swali la number ngapi…
 
Habari wana jamii forums
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?

For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote ulipo tambua nakusubri kijana mpole na mwenye hofu na mungu
4 ila nimeshaoa
 
Back
Top Bottom