Hakuna bodi ya watu wa computer science. Ila kuna bodi ya watu wa IT kwa ujumla.Habarini,
Kuna ndugu yangu hapa anauliza kama kuna registration board ya watu waliosomea Computer Science. Ameshatafuta sana mtandaoni ameishia kukutana na ya Engeering tu.
Mwenye kujua kuhusu hili anijuze tumsaidie kijana wetu.