Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,281
- 2,423
Achana nao hao...Sukari ipo nyingiChadema sijui watasema nini
Sukari inategemewa kutoka Malawi na nanili...
Leo sukari kilo ni shilingi 1850
Achana nao hao...Sukari ipo nyingiChadema sijui watasema nini
Prof. Keneth Bengesi ambaye ni mkurugenzi mkuu wa bodi ya sukari amesema taifa lina sukari ya kutosha na huu uhaba bandia umesababishwa na wafanyabiashara wasio waaminifu kuficha bidhaa hiyo.
Prof Bengesi amesema kwa sasa kuna tani nyingi za sukari zinashushwa bandarini Dsm lakini pia kuna tani za kutosha ambazo tumeimport kutoka Malawi ziko mpakani Kasumulu zinafanyiwa clearance ni zitaingia madukani muda wowote ule kuanzia leo.
Bengesi amesema yatafanyika marekebisho ya bei elekezi ya sukari kwa baadhi ya mikoa ikiwemo Dsm, Tanga, Arusha nk
Chanzo: Channel ten!
Achana nao hao...Sukari ipo nyingi
Sukari inategemewa kutoka Malawi na nanili...
Leo sukari kilo ni shilingi 1850
hivi kumbe Chadema ndo wameficha sukariChadema sijui watasema nini
Huyu wa kutumbuliwa tu watu wanahangaika yeye katulia hadi Waziri anaingilia kati yeye katulia leo anatuletea ngonjera alikuwa wapi hadi hali imefika hapa tulipo?Prof. Keneth Bengesi ambaye ni mkurugenzi mkuu wa bodi ya sukari amesema taifa lina sukari ya kutosha na huu uhaba bandia umesababishwa na wafanyabiashara wasio waaminifu kuficha bidhaa hiyo.
Prof Bengesi amesema kwa sasa kuna tani nyingi za sukari zinashushwa bandarini Dsm lakini pia kuna tani za kutosha ambazo tumeimport kutoka Malawi ziko mpakani Kasumulu zinafanyiwa clearance ni zitaingia madukani muda wowote ule kuanzia leo.
Bengesi amesema yatafanyika marekebisho ya bei elekezi ya sukari kwa baadhi ya mikoa ikiwemo Dsm, Tanga, Arusha nk
Chanzo: Channel ten!
Waripoti kwa mamlaka hao, ni walanguziSukari ipo ya kutosha.
Ila tumeimport nyingine kutoka Malawi.
Mmmmhhhh so unayo ila umenunua nyingine kutoka Malawi? Ya nini sasa wakati unayo?
Hapa mtaani kwangu sukari ipo duka moja tu, Kilo 4000.
Ninapoishi na kituo cha polisi siyo mbali, siamini kama askari hawajajua hili swalaWaripoti kwa mamlaka hao, ni walanguzi
Hawa watu wanajua wanaongoza mazoba tupu au?maana yanadanganya waziwazi.sisi tunayaona Mapumbavu tu Fulani. Jitu linalegeza domo sukari ipo nyingi.iko wapi?.wafanyabiashara wameifungia kwanini msiwakamate.maana hata madukani haiuzwi kwa bei elekezi na bado haipatikaniMkuu Yohanmbatizaji asitudanganye kama watoto wadogo sukari hakuna, wanategemea hiyo waliyo-import ndiyo waingize sokoni. Kama ipo wameagiza ya nini?
Hivi inaingia akilini kusema kuna wafanyabiashara wameficha sukari na waachwe tu huku raia wanateseka kutafuta sukari ilipo?
Unakumbuka kauli ya Gavana wa DSM? Alisema hivyo hivyo na kwamba atapitisha msako mkali na atataifisha akikamata sukari iliyofichwa. Wiki nzima imepita hawajaambulia kitu.
Ukweli ni kwamba kulikuwa na uzembe mkubwa sana ktk kuagiza sukari nje ili kuziba pengo ambalo viwanda vyetu huwa vinaacha. Kuepuka huo uzembe mzigo unasukumiwa kwa wafanyabiashara kwamba eti wameficha sukari.
Atakuwa ni mfanyabiashara mwenye funza kichwani ambaye ataficha sukari kipindi hiki cha uhaba, wakati ndiyo muda mzuri wa kupata super profit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashwee hakuna habari ya bei elekezi kila mtu anauza kivyake. Hiyo bei elekezi iko kwenye makaratasi tu. Ingia mtaa ujionee mwenyewe.Bwashee unapataje super profit na hii bei elekezi?
Haya ni matatizo yanasababishwa na serikali, bei elekezi wanakaa ofisini wanafikiri fikiri wanaamua iwe hivi, hata boss akisikia bei hii atafurahi. Hawaendi field kujua kiwandani bei gani, muuzaji mkubwa anauzaje na muuzaji wa mwisho anaipata kwa bei gani.Anadai tatizo ni wafanyabiashara wasio na uaminifu, halafu anakiri kwamba wanaenda kubadili bei elekezi, yani serikali inapandisha bei!
Bei elekezi ilikuwa unrealistic. Serikali haijali au haijui gharama ya kufikisha sukari dukani.
Utauza mzigo mwingi peke yako na utaisha haraka ulete mwingine, tofauti na ikiwa ipo nyingiBwashee unapataje super profit na hii bei elekezi?