Sisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)
Tazama huyu mbumbumbu naye, unatakiwa ujue kwamba wadau wakuu wa sekta yakukabiliana hili jini ni wakati wakulima wajiundie vyama vya hiari ambavyo watavitumia kujitafutia masoko na mambo mengine.
Nchi hii haijapungukiwa watu wanaofikiria kama wafuBodi ya Pamba ni taasisi inayojipambanua kwa weledi wa hali ya juu
Watu wanashangaza kweli Mkuu,hii bodi ni jipu kubwa sanaWe jamaa umelipwa,hivi unaujua hata mmea wa pamba unaonekanaje,wakulima wa pamba kanda ya ziwa wanamaisha magumu.pamba inafanyiwa udalali sana na mkulima anamia,ukiwa huna kitu cha kuposti sio lazima kuna na ngongera zisizo na takwimu husika.
unakumbuka kashfa ya bodi ya kahawa ya Maghembe kuteua wajumbe wa bodi kiupendeleo? ndiyo ujue wakulima hawana sauti kwenye hizi bodi ni serikali kupitia waziri wa kilimo. hata wakoloni wakati wanaanzisha crops boards waliwaambia wananchi ni kwa faida yao.Taza
Tazama huyu mbumbumbu naye, unatakiwa ujue kwamba wadau wakuu wa sekta ya
Pamba ni wakulima wa pamba, wafanya biashara ya pamba pamoja na serikali. Usitegemee composition ya board of directors isiwe na hao wadau waliotajwa. Bodi ya uvuvi kama ipo ni lazima iwe na mjumbe anayewakilisha wanunua samaki kama vile gachuma alivyo tcb. Na after all gachuma hajawahi kuwa mwenyekiti wa tcb zaidi ya ujumbe. Huyu ni chair wa TCA ambacho ni umoja wa wanunuzi kama vile bodaboda walivyo na umoja wao.
Kweli kabisa
Fafanua,Hongereni Bodi ya Pamba
Inawezeka hata hawaijui inapatikana wapi,imekaa hovyo hovyoHawa jamaa hawana ISO certification kweli?
CAG kasemaje?Sisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)