magina igay
New Member
- Oct 18, 2017
- 4
- 2
Iyo site nikwamba wame announce tuu tujue amaa coz hamna chochote naona Giza tuuu
Urongo??????Acha urongo wewe
Hyo discipline mkuu ilihusika hapoNi ugumu au sio academics matters
hapana mkuu, batch zote watapata 30000 tu mkuu,mwaka jana walipata 25000 mwaka juzi walibahatika 53000Dah 10,196 TU???
This is to say hata 20,000 kwa awamu zote hawatapa!! My God,!
Kwel kabisa kwenye majina atupie humu mbona link haijafunguka sasaBandugu........hiyo link wala haifunguki kwangu huku.......msaada kwa aliyefungua na akabahatika 'kusanikisha' yaani ku-download faili hilo lenye majina......alitupie jamvini.
Asanteni wakuu.
Hiyo link nimebahatika kuifungua mida lakini haina jipyaBandugu........hiyo link wala haifunguki kwangu huku.......msaada kwa aliyefungua na akabahatika 'kusanikisha' yaani ku-download faili hilo lenye majina......alitupie jamvini.
Asanteni wakuu.
la kale lipi mkuu ambalo limewekwa? Watu wana hamu nalo hilo!Hiyo link nimebahatika kuifungua mida lakini haina jipya
Da awali kwangu ikifunguka but muda huu imenigomea nadhani watakua wanapakia madudeBandugu........hiyo link wala haifunguki kwangu huku.......msaada kwa aliyefungua na akabahatika 'kusanikisha' yaani ku-download faili hilo lenye majina......alitupie jamvini.
Asanteni wakuu.
Majna hawajaweka badoDa awali kwangu ikifunguka but muda huu imenigomea nadhani watakua wanapakia madude
Ma
Majna hawajaweka bado
HahahahaDah nimekosa mkopo kubabake awa jamaa kama walikua wanajua hawatupi mkopo watu wa diploma ni bora wangetuambia tu kuliko kupoteza fedha na muda yan roho inaniuma kweli
Hujapata?la kale lipi mkuu ambalo limewekwa? Watu wana hamu nalo hilo!
Sijajua coz kama kuna nyaraka umekosea walikua wanatoa majina then unaenda kurekebisha. Rafiki yangu hakusaini tu ilibidi atoke mbeya aje kusain. Na alipata 100%.kama ulirekebisha mkopo utapata
Wahuni kama wahuni wengine hawa HESLB wenye kadi za ccm hata hawajui wanafanya nini!Mbona link haifungukii kuna ukwel wowote apaaa au ndo kurushana rohooo....mbavuu