Bodi ya Mikopo yatenga bilioni 34.6 kwa wanafunzi 10,196 waliofanyiwa uchambuzi awamu ya kwanza 2017/2018

halafu wanadai walitoa majina ya walio kosea ili walekebishe, hayo majina yalitolewa lini maana Mimi ni mmoja was walio kosea maana sikuambatanisha result slip ya form six, na sikupewa taarifa ya malekebisho
 
Ndio bas tena ishakula kwetu
 
Ila kuna tetesi kwamba leo majina ya wanafaika yatatolewa
InShot_20171018_160410762.jpg
hiyo ni screenshot ya mtu ambaye mda huu kanistua kwa hiyo txt ya mwanzo kqbisa
 
Af wasipo tugea mikopo angalau waturudishie zile elf thelathin zetu basi tunywee hata soda tu au kununua karanga za hiyo hela na kuaanza kutembeza kitaa Coz shule ndo itakua mpaka mwakan
 
halafu wanadai walitoa majina ya walio kosea ili walekebishe, hayo majina yalitolewa lini maana Mimi ni mmoja was walio kosea maana sikuambatanisha result slip ya form six, na sikupewa taarifa ya malekebisho
Mm sikuambatanisha result slip na nimepata
 
Back
Top Bottom