Bodi ya Mikopo yatenga bilioni 34.6 kwa wanafunzi 10,196 waliofanyiwa uchambuzi awamu ya kwanza 2017/2018

Bandugu........hiyo link wala haifunguki kwangu huku.......msaada kwa aliyefungua na akabahatika 'kusanikisha' yaani ku-download faili hilo lenye majina......alitupie jamvini.

Asanteni wakuu.
 
Kwel kabisa kwenye majina atupie humu mbona link haijafunguka sasa
 
Kama wewe ni First Year ambaye umechaguliwa kuja UDOM au kama una ndugu au jamaa yako amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma 2017/2018 ni vema akaingia kwenye hili Group ili iwe rahisi kukutana na wanafunzi wengine waliopata bahati ya kuja UDOM.

ANGALIZO; Kama wewe sio mhusika yaani sio First Year wa UDOM, Tafadhali usijoin kwenye hili Group.

Sambaza kwenye magroup mengine.

Follow this link to join my WhatsApp group: UDOM SELECTED FIRST YEAR.
 
Bandugu........hiyo link wala haifunguki kwangu huku.......msaada kwa aliyefungua na akabahatika 'kusanikisha' yaani ku-download faili hilo lenye majina......alitupie jamvini.

Asanteni wakuu.
Hiyo link nimebahatika kuifungua mida lakini haina jipya
 
Inanikumbusha kipindi walichotoa tangazo la kuomba mkopo, watu walikuwa wanakesha kwa jinsi mtandao uliyokuwa unasumbua. sasa sijui kwa sasa katika kufuatilia hayo majina....!
 
Bandugu........hiyo link wala haifunguki kwangu huku.......msaada kwa aliyefungua na akabahatika 'kusanikisha' yaani ku-download faili hilo lenye majina......alitupie jamvini.

Asanteni wakuu.
Da awali kwangu ikifunguka but muda huu imenigomea nadhani watakua wanapakia madude
 
Back
Top Bottom