Bodi ya mikopo yaburuzwa mahakamani

fadtanji

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
767
999
Naangalia taarifa ya habari Azam Two, nakutana na habari ya bodi ya mikopo (Heslb) yaburuzwa mahakani na mmoja wa walalamikaji akishirikiana na mawakili wengine.

Note:Jamani mkomae hivyo hivyo hata kuwachangia tupo tayari ili tupate haki yetu. Wamezidi kutuonea hawa jamani yaani narudi nyumbani na tulaki tu nafwaaa.
 
Wadaiwa wengi walimaliza chuo miaka kumi iliyopita. Walikuwa na muda wa kutosha kulipa deni la bodi kwa rate ya 8% kwa miaka hiyo kumi na hawakufanya hivyo...
Sasa wacha wanyolewe hiyo 15% ili kufidia miaka waliyokuwa wamejificha... Naongea haya kwa kuwa mie nimejiajiri na najua hawawezi kunidaka any time soon! :D
 
Una roho ya ibilisi
 
Nyie inabidi wawadake huko TRA.

Vizuri umeandika haya, kumbe hawajawaanza kuwacheki TRA duh

Au mliiba vyeti au majina ya kuandikisha kampuni?
 
Wadaiwa wengi walimaliza chuo miaka kumi iliyopita. Walikuwa na muda wa kutosha kulipa deni la bodi kwa rate ya 8% kwa miaka hiyo kumi na hawakufanya hivyo...
Sasa wacha wanyolewe hiyo 15% ili kufidia miaka waliyokuwa wamejificha... Naongea haya kwa kuwa mie nimejiajiri na najua hawawezi kunidaka any time soon! :D

Mkuu;
Usishangilie maafa ya wenzio. Hivi jiulize swali, Walijificha wapi wasikatwe? Mbona leo serekali imeweza kuwakata walipofikisha 15%?
Uzembe wa serekali ulipwe na mdaiwa?? Serekali iwawajibishe wale waliohusika na uzembe huu sio wahusika hawa. Hakuna mtu aliyekataa kuwa hajachukua mkopo, ila mdai hakuwadai so kosa si lao. Kama walitakiwa wawe wakizi deposit bank flan wenyewe, sawa. Lakini kama ilikuwa serekali wawakate, kosa liko wapi? Msiwafanye watu waichukie serekali yao jamani.
 
Kweli unajua kutumia akili uliyonayo. Kuna watu ukisoma comment zao humu mpaka unajiona mjinga.
 
Back
Top Bottom