Mkuu samahani lakini, sijui kwanini kila nikiona hiyo profile picha yako uume wangu unasimamaduuu hizi hela ninazodaiwa mm cjui ntakuja maliza linibkulipa
Mkuu samahani lakini, sijui kwanini kila nikiona hiyo profile picha yako uume wangu unasimama
mimi sioni aja ya kulipa hilo deni, hapo hupo sawa ata mimi ningekuwa nimesoma na kunufaika na mkopo nisingelipa...kwa kifupi tumejilipaWarudishe kwanza pesa za Escrow, EPA na mimi ndo nitalipa mkopo wangu walionipa. Mimi milioni 10 tuu wananikereketa hivi, wakati EPA watu wamesepa na mabilion ya pesa hawashughulikiwi.
Yaani kiufupi hii pesa waliyonisomesha nayo bodi ni mgawo wangu katika madili yote machafu yaliyopigwa nchi hii. Na silipi Ng'oooooooo
Bodi ya mikopo ni Jipu . Hawajawahi kuota kuwa kuna siku Magufuli atakuja kuwa RaisNILIWAHI KUWAANDIKIA BODI YA MIKOPO KUTAKA KUJUA KIWANGO WANACHONIDAI HADI LEOHAWAKUJIBU LICHA YA KUWAPA KILA TAARIFA NILIYOHISI NIMUHIMU.SASA NIFANYEJE?NAJUA HAWAJIBU BAADA YA KUDAI WANIWEKEE KWENYE ACCOUNT MKOPO WALIONIKUBALIA MWANZONI HATA HIVYO HAWAKUNIWEKEA NA HATA BARUA HUSIKA HAWAKUJIBU.
Ni pale unapoanza kulipwa salaryKwani mwajiriwa anaanza kukatwa akiwa na miaka mingapi kazini au MTU anatikiwa aanze kurejesha mikopo yake baada ya muda gani baada ya masomo??
Koma wee, nani mwanao humu jf unadhani kuna vitoto humu?Waalimu peke yao maskoni ndo huwa wanalipa sisi kada nyingine hata hawajui kuwa tulishakufaga au tupo ki ukweli nina miaka mitano tangu nimalize na sijalipa chochote mimi pamoja na mama yenu mdogo!
Amri ya MunguKoma wee, nani mwanao humu jf unadhani kuna vitoto humu?
hawana majini boss, au na we upo loan board na ni jipuKuomba waajiri wawasilishe majina ya waajiriwa wao hakumaanishi kuwa Loan Board imepoteza majina. Loan inachotaka kujua yuko wapi na anafanya nini ili iweze kumpangia utaratibu wa kurejesha mkopo.
we chelewa uje kulipa kwa asilimia ambazo haukukubaliana nazo ktk fomu uliyo jaza.
kuna mtu kaanza kukatwa baada ya miaka kama minne kazini....
Lol...aisew kazi unayoMkuu samahani lakini, sijui kwanini kila nikiona hiyo profile picha yako uume wangu unasimama