Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu hamkujipanga?

Mwezi huu baada ya mapenati kufutwa watu wengi wamemaliza na kunauhitaji mkubwa wa statement physically pale ofisini kwao. Last week nilienda kuchukua barua ya kumaliza. Kuna foleni kubwa sana ya watu

Lakin wafute kabisa VRF na penalty bila masharti yoyote
 
Ni moja kati ya mifumo ya kipuuzi kuwahi kutumika nchini…Kwasababu ni mfumo wa Wizi wanaouendesha hawataki wanaoibiwa waujue ukweli!
 
Hii bodi ifumuliwe upya wamefanya uhuni kwenye kuondoa penalty na value retention fee wanadai penalty na value retention fee vitaondolewa kwa wanufaika watakaomaliza mwaka huu tu na kuendelea na kumbuka ile sheria ili wagusa hata ambao walimaliza chuo kabla ya sheria kupitishwa sasa iweje value retention fee iondolewe kwa wanufaika wa mwaka huu tu,wapepingana na maelekezo ya Boss wao ambaye ni Waziri wa Elimu
HESLB ni kama jini!
Ile sheria 'batili' ilitugusa hata tulioanza kulipa kabla ya 2016.
Haiingii akilini mkopo wa 8.4m, uwe na too zaidi ya 1.156m
 
Penalty na VRF vikikuwepo kabla ya 2016,

2016 iliongeza asilimia ya makato kutoka 8 Hadi 15.
 
Kwa mujibu wa mkataba wangu, hakuna VRF. Kuna penalty ikiwa kama sitokuwa nimemaliza kulipa deni kwa miaka 10 tangu nihitimu masomo.
 
Mwezi huu baada ya mapenati kufutwa watu wengi wamemaliza na kunauhitaji mkubwa wa statement physically pale ofisini kwao. Last week nilienda kuchukua barua ya kumaliza. Kuna foleni kubwa sana ya watu
Unamaanisha nini unaposema "mwezi huu penalty zimefutwa?
Wakati VRF ilifutwa 1st May na Penalty ya kuchelewa 10% ilifutwa 1st June.
 
Binafsi sijaona chochote kilichobadilika!mwaka jana deni mil.sita kwenye salary slip leo mil.nne na laki nane !sijaiona ile VRF INAFANYAJE KAZI HAPA!NGOJA NISUBIRI MWEZI WA SABA NIONE SLIP ITAANDIKA NINI!!STATEMENT HAWATOI ETI NDANI YA MASAA 72 had le shid tup aise!!!
 
Kwa sisi tulioanza kukatwa mapema hakuna kitakachobadilika
 
Kwa mujibu wa mkataba wangu, hakuna VRF. Kuna penalty ikiwa kama sitokuwa nimemaliza kulipa deni kwa miaka 10 tangu nihitimu masomo.
Ilianza 2012/2013 kama sikosei,

Nilianza kulipa 2015 lakini nilikuwa nishapigwa penalty na VRF na Deni likawa 9.3m kutoka 6.2m nilikuwa nimekopeshwa wakati makato yakiwa asilimia 8 ndiyo maana nikasema 2016 haikuleta VRF Bali iliongeza tu asilimia labda kama walinibambika VRF peke yangu kumbe haikuwa kwenye sheria.
 
Unamaanisha nini unaposema "mwezi huu penalty zimefutwa?
Wakati VRF ilifutwa 1st May na Penalty ya kuchelewa 10% ilifutwa 1st June.
Penalty haijafutwa,

Iliyofuatwa ni VRF kuanzia Julai, 2021 lakini VRF ya miaka ya nyuma iko pale pale, shida ambayo bodi waliitengeneza ni kuwawekea wanufaika VRF ambayo si halisi kwa kipindi makato ni 8% kwa kuangalia mshahara wa mtumishi husika na kufanya makadirio Hadi atakapomaliza marejesho. Ndiyo maana wengine Deni linapungua kwa sababu VRF waliyoweka unaweza Kuta ya miaka 8 lakini baada ya ongezeko kutoka asilimia 8 Hadi 15 ukukotoaji ulitakiwa kubadilika.
 
Ilianza 2012/2013 kama sikosei,

Nilianza kulipa 2015 lakini nilikuwa nishapigwa penalty na VRF na Deni likawa 9.3m kutoka 6.2m nilikuwa nimekopeshwa wakati makato yakiwa asilimia 8 ndiyo maana nikasema 2016 haikuleta VRF Bali iliongeza tu asilimia labda kama walinibambika VRF peke yangu kumbe haikuwa kwenye sheria.
Mimi nilianza kulipa 2013.
Nilikopeshwa milioni 10.
Pamoja na VRF wakaanza kunikata milioni 10.4
Nilipochukua statement last week inaonyesha deni langu lote ni milioni 10.6
Imeongezeka laki 2 pamoja na kufuta VRF.
"Bodi big salary poor workmanship"
 
Penalty haijafutwa,

Iliyofuatwa ni VRF kuanzia Julai, 2021 lakini VRF ya miaka ya nyuma iko pale pale, shida ambayo bodi waliitengeneza ni kuwawekea wanufaika VRF ambayo si halisi kwa kipindi makato ni 8% kwa kuangalia mshahara wa mtumishi husika na kufanya makadirio Hadi atakapomaliza marejesho. Ndiyo maana wengine Deni linapungua kwa sababu VRF waliyoweka unaweza Kuta ya miaka 8 lakini baada ya ongezeko kutoka asilimia 8 Hadi 15 ukukotoaji ulitakiwa kubadilika.
Penalty imefutwa 1st June. Watakaonza kulipa deni lao hawatakuwa na penalty mkuu Ila kama ulianza kulipa kabla ya hapo penalty inakuhusu
 
Mmeanzisha mfumo mzuri sana wa wanufaika wa mikopo kuhakiki taarifa zao kwa njia ya mtandao.

Tatizo ni kuwa mtu ukitaka kuomba taarifa fupi ya malipo 'statement' haipatikani. Nilipoomba mara ya kwanza nilipata ujumbe nisubiri baada ya masaa 72, ikapita wiki. Nikajaribu kuomba tena sasa nimepewa namba ya foleni ambayo toka nimepata ni wiki sasa na foleni ya huduma haijasogea hata mtu mmoja.

Wazo ni zuri sana lakini utekelezaji naona uko duni, ni kama vile mmeweka mfumo ambao hauko tayari kutoa baadhi ya huduma.
Huo mfumo haufanyi kazi, kama unataka kuhudumiwa ni lazima uende physically ofisi zao, Dar ndo utapata huduma hata hiyo statement, na ujiandae kuspend siku nzima huko maana watu ni wengi sana, kuna foleni balaa.
 
Mimi nilianza kulipa 2013.
Nilikopeshwa milioni 10.
Pamoja na VRF wakaanza kunikata milioni 10.4
Nilipochukua statement last week inaonyesha deni langu lote ni milioni 10.6
Imeongezeka laki 2 pamoja na kufuta VRF.
"Bodi big salary poor workmanship"
Changamoto Sana,

Mwezi wa pili nilichukua statement ikwa imepanda kutoka 9.3m ikawa 10.3m lakini nilikuwa nishalipa 8.5m nikawa nafikiria Deni ninalolitambua nimebakiza laki 8 tu kumbe wao wakaongeza 1m Tena.

Mpango niliokuwa nao ni kuwalipa lakini walipoongeza nikagaili.

Lakini baada ya VRF kufutwa na kwenda kuchukua statement inaonesha nilitakiwa kulipa 8,063,000 tu wakati mpaka nachukua Stmnt nilikuwa nimewalipa 9m.
 
Huo mfumo haufanyi kazi, kama unataka kuhudumiwa ni lazima uende physically ofisi zao, Dar ndo utapata huduma hata hiyo statement, na ujiandae kuspend siku nzima huko maana watu ni wengi sana, kuna foleni balaa.

Hiyo VRF kwanini hawajaifuta mpaka dakika hii ?sasa kweli wanufaika wamepata unafuu wa deni?maana Mh Raisi alielekeza iondolewe kabisa,sasa shida ni nini?Wanufaika wengi walikuwa wameisha hamasika kulipa maden yao lakin kwa mahesabu haya ya VRF before 1 May 2021 wamekata tamaa kabisa na malakamiko kwa body hayataisha kabisa
 
Penalty haijafutwa,

Iliyofuatwa ni VRF kuanzia Julai, 2021 lakini VRF ya miaka ya nyuma iko pale pale, shida ambayo bodi waliitengeneza ni kuwawekea wanufaika VRF ambayo si halisi kwa kipindi makato ni 8% kwa kuangalia mshahara wa mtumishi husika na kufanya makadirio Hadi atakapomaliza marejesho. Ndiyo maana wengine Deni linapungua kwa sababu VRF waliyoweka unaweza Kuta ya miaka 8 lakini baada ya ongezeko kutoka asilimia 8 Hadi 15 ukukotoaji ulitakiwa kubadilika.
Walitumia vigezo gani kutafuta ile VRF?
 
Wakurudishie

Back
Top Bottom