jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Hawa ndio madereva pikipiki/Toyo wazuri
kwa uendeshaji tena waaminifu.
Wanapatikana katika wilaya ya
Bunda mkoani Mara. Vijana hawa
wanapaki mtaa wa baisikeli nyuma
ya soko kuu karibu na duka la
Nyamongo Hardware. Kwa
mawasiliano zaidi wanapatikana
kwa namba zifuatazo : 0788043177, 0768215677,
0682819436, 0765751413, 0753183313 na
0753216886. Mda wowote ukipiga unawapata.Hata
ukiwa mgeni ukifika Bunda piga moja kati ya hizo
namba ili upate usafiri wa uhakika maana wana
mwendo mzuri kwa sababu abiria anaendeshwa
kwa speed anayotaka yeye abiria.
Karibuni sana kwa usafiri wa
uhakika. Piga simu mda wowote ila kazi
wanafunga kuanzia saa 2:30 usiku. Thank you in
advance.