Hii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka
Walimu walimu walimu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]