Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,183
Tuendako mitaji itakua, watanunua daladala wanaacha kazi na ualimu inabaki kuwa kazi ya wamamaHii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Kuna wengine wengi kutokana na masimango hivi sasa wanafungua glosary


