Waalimu walipwe vizuri ili usiku watulie na familia zao pamoja na kupimzika na kujiandaa kwa siku ijayo la sivyo elimu yetu itaporomoka.Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Well spokenWaalimu walipwe vizuri ili usiku watulie na familia zao pamoja na kupimzika na kujiandaa kwa siku ijayo la sivyo elimu yetu itaporomoka.
Kafanya maamuzi ya busara sanaHhhahaha uko sahihi mkuu hutajutia

🤣🤣🤣🤣🤣Nikajua muanzisha uzi ni mpwayungu village
Kesi za walimu kulawiti watotoDuuh![]()
DuhMaladhi = malazi. We jamaa ni mshamba na una roho ya kimaskini mno. Umeshapata mtu wa kumpa kinyeo akulipe milioni 50?
😁😁😁Vyuo vimefungwa hivi kazi tunayo zitakuja nyuzi za hovyo hovyo mpaka vifunguliwe sio leo...
iLa kitu ambacho sasa kinanishangaza kutoka kwa hawa majamaa ni kula hv vitoto vya primary,huwa nashangaa nikifika kwenye hzo shule za primary nakosa kabisa kuona kitoto ambacho kitaonekana kinaweza kuingiliwa lakin jamaa wanavitafuna hvyo hvyo,sjui wanatumia kilainishi gani





Mburula divisheni foo.Nilikuwa mwalimu, nilikuwa nafundisha pale Mawe Matatu, Misungwi. Nikaona ualimu na walimu ni mburula, nikaacha.
Unajuaje ikiwa ni yeye kupitia ID nyingine?Nikajua muanzisha uzi ni mpwayungu village

huyu mwana walimu sijui wamemfanya nini aisee maana ajawahi kuwakubaliNilikuwa naisubili comment yako hapa, ila angalau kidogo umepunguza ukali
kuna mmoja ana glossary yake mbona tukiiishiwaga tunakopa sio poa walimu wako poaTuendako mitaji itakua, watanunua daladala wanaacha kazi na ualimu inabaki kuwa kazi ya wamama
Kuna wengine wengi kutokana na masimango hivi sasa wanafungua glosary


daah nilicheka sana.