Bodaboda na wake za watu

Thread Closed
 
Tutapona kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh...! Kwa hiyo nyie ni kimbilio kwa sasa. [emoji1015][emoji1015][emoji1015][emoji1015]kwenye anga zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini, hali ngumu ya kimaisha na kuwa na tamaa, kutokuwa na elimu ya dini nayo huchangia mporomoko wa maadili kwa kasi kubwa sana.
Sister hapo utakuta wengine wana kipato kizuri tu,kama wale jamaa kwenye thred za juzi wanawalalamikia wake zao kuwahonga bodaboda-kwa hiyo labda hao wanaangukia ktk kuporomoka kwa maadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Avator🥰
 
Nasikia ule mnesoneso was bodaboda huwatekenya na hivyo kupandwa na mzuka haraka. Na bodaboda walishaligundua hili, wanawapitisha sana sehemu mbovu za barabara ili kuzalisha minesoneso mingi hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mnapenda kuwapa kesi wake za watu dah! Hayo yapo lakini mnaandikaga kama vile karibia kila mke wa mtu analiwa!

Wekeni heshima kidogo kwa wanawake mnapo address matatizo yao na msisahau hata mama zenu ni wake za watu. Zipo ndoa nyingi mno zisizo na matatizo kama hayo ila baadhi tu.

Mbaya zaidi unaweza kukuta wachangiaji wengi si wanandoa achilia mbali tunajadiliana na vijana waliobalehe majuzi!

Hii ni kwa hisani ya taasisi ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…