Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Mara nyingi si rahisi kuponaDamu zilikua zinamtoka kwa nyingi sana puani, mdomoni na masikioni.
Pia taa ya nyuma wanatoa wanaweka kidogo.Mimi siku hizi nawaogopa,maana nimeshawagonga sana,naona wanachonitafutia sasa ni kesi tu.Sasa hivi wamefikia mahali wanatoa taa kubwa ile ya original mbele wanaweka kitaa kimoja kidogo kina mwanga hafifu,yaani hata haijulikani wanataka nini...
Wanawahi kaburiniLeo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mtu anakata roho.
Ajali ya bodaboda na gari ndogo imetokea maeneo ya Kange kituoni mkoani Tanga majira ya saa tisa alasiri.
Bodaboda ame-overtake upande wa kushoto wakati gari ndogo ilikua inakunja kutoka barabara kuu kuelekea barabara ya vumbi huku dereva wa gari dogo akiwa amechukua tahadhari zote ikiwemo kuwasha indicator.
Bodaboda katoka na speed zote upande wa kushoto bila kujua kuna gari tayari inakunja kona mbele yake. Kijana akalivaa gari ubavuni upande wa mbele, akatupwa mbali na boda yake na kutua mzimamzima pembezoni mwa barabara.
Kwakua niilikua nyuma ya gari hilo dogo wakati ajali inatokea eneo, nilisogea mbele na kupaki pembeni kisha nikashuka kwenda kumtazama muhanga wa ajali ile. Damu zilikua zinamtoka kwa nyingi sana puani, mdomoni na masikioni.
Alikua katika mwendo wa kasi mno (takribani 80-100km/her) na mbaya zaidi hakua na helmet kichwani.
Shukrani zimuendee msamalia mwema mwenye gari zenye namba T*** EBN ambaye alijitolea kumkimbiza hospitali. Lakini kwa hali ilivyokua ni wazi kijana alikua amekwishakata roho.
Chondechonde vijana wa Bodaboda kuweni makini tafadhali.
Kuna style flan hv ya kukaa, wanakaa upande kama vile wana majipu makalioniPia taa ya nyuma wanatoa wanaweka kidogo.
Usukani wanaupindisha unakua kama koleo la kung'olea meno.
Bure kabisa!
Kwa mweli sie bodaboda inabidi tuwe makini sana maana mwili bodi. Asante kwa kutukumbusha tutachukia tahadhari zoteLeo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mtu anakata roho.
Ajali ya bodaboda na gari ndogo imetokea maeneo ya Kange kituoni mkoani Tanga majira ya saa tisa alasiri.
Bodaboda ame-overtake upande wa kushoto wakati gari ndogo ilikua inakunja kutoka barabara kuu kuelekea barabara ya vumbi huku dereva wa gari dogo akiwa amechukua tahadhari zote ikiwemo kuwasha indicator.
Bodaboda katoka na speed zote upande wa kushoto bila kujua kuna gari tayari inakunja kona mbele yake. Kijana akalivaa gari ubavuni upande wa mbele, akatupwa mbali na boda yake na kutua mzimamzima pembezoni mwa barabara.
Kwakua niilikua nyuma ya gari hilo dogo wakati ajali inatokea eneo, nilisogea mbele na kupaki pembeni kisha nikashuka kwenda kumtazama muhanga wa ajali ile. Damu zilikua zinamtoka kwa nyingi sana puani, mdomoni na masikioni.
Alikua katika mwendo wa kasi mno (takribani 80-100km/her) na mbaya zaidi hakua na helmet kichwani.
Shukrani zimuendee msamalia mwema mwenye gari zenye namba T*** EBN ambaye alijitolea kumkimbiza hospitali. Lakini kwa hali ilivyokua ni wazi kijana alikua amekwishakata roho.
Chondechonde vijana wa Bodaboda kuweni makini tafadhali.
Inaitwa KishanduKuna style flan hv ya kukaa, wanakaa upande kama vile wana majipu makalioni
😃 Acha hiyo! Wengi wanavaa visendo halafu wanavining'iniza lakini havidondoki.Kuna style flan hv ya kukaa, wanakaa upande kama vile wana majipu makalioni
Mtu amevaa sendo lakn mguu peku ndio unakanyaga😃 Acha hiyo! Wengi wanavaa visendo halafu wanavining'iniza lakini havidondoki.
Hawa vijana ni wa hovyo sana
Wewe ni mpumbavu mno. Nyie ndo wale mnakimbilia kupiga picha kwenye ajaliKwaiyo wewe huna usamaria wema uongo? Uliona kupakia huo mzoga kwenye hicho ki rahum chako kwamba kingeisha mafuta au unakuja kueleza unoko hapa,hata picha hujaweka....
Hiyo honi wakati mwingine anakupigia wakati yeye yupo wrong side.Bodaboda anaamini honi ndio breki