Bodaboda Mkataba 47weeks. Mwenye Wadhamini wa2 na proper address njoo PM

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Ipo Bodaboda Mpya. Mkataba 47 weeks. Kila week 70Elfu.

Location: Dar.

Njoo PM.

bc001b1def931746048eed4af0faac31.jpg
 
Hahaha we jamaa ni mangi nini unapenda mafaida makubwa hivi?yaani 47×70000=3290000,unanunua nyingine 2 mpyaaa,wapunguzie wiki aisee.

Mkuu saivi hizi ndude zimepanda Bei hadi kufikia 2,250,000/- pamoja na Insurance. Hivyo basi, kwa hizo wiki ni muafaka kabisa na saivi ndio utaratibu kwa walio wengi kutokana na Mashine kupanda bei kaka.

Hata hivyo nnao vijana kadhaa barabarani kwa mkataba wa 47 weeks.

By the way karibu sana.
 
mbona siku chache sana?! mie huwa natoa sanlg kwa mwaka na mwezi+siku kumi. elfu kumi kila siku
 
Mie ni mdau na mfanyabiashara
Bei hiyo hupati mtu la sivyo mtasumbuana sana na Driver.
Biasahra hii imekuwa ngum sana tofauti na unavyofikiria na kuona watu wanaenda race mjini.

Kwanza Drivers wanachagua aina gani ya chombo umechonunua,wenzio huwa wanatafuta kwanza Driver then wanamuulzia aina ya chombo anachokitaka.Kuna Aina humu miezi sita tu imeisha choka,na nyingine ikifika mwaka ni majanga.Na zipo aina kama TVS na Boxers mpaka 2 years and more bado zipo order.Licha ya kwamba yote hutegemea Driver na utunzaji wake,Ila nyingine hata ukiitunza vipi kizee anakuwa kizee tu hata kwa Mkorogo.

shusha bei unaweza kupata mtu,ila at that price ni ngum sana.
Mie zangu zote hakuna mkataba wa muda maalum wala wa mtu kusema yake.Ni mkataba wa kazi ukichoka unaiacha unasepa.Au ikichoka naiuza na kununulia nyingine unayoitaka,that`s how I do
 
mie zangu ni mwaka +mwezi+10 days na madriver wanazigombania kwelikweli, huwa nasumbulia kila siku utasikia 'brother nataka machine' yaani kiasi kwamba mtu akija ofisi ama akiniita mtaani nakuwa nishatabiri shida yake ni pikipiki ya mkataba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom