Bodaboda agonga Basi la Mwendokasi na kufariki dunia

Bodaboda agonga Basi la Mwendokasi na kufariki dunia

Ajali haina kinga ila boda wa hapa town dah hawelewi swala linaitwa sheria. Nawaonaga hata wakienda bichi dah wanamwagika sana alafu unakuta pikipiki moja inabeba watu watano alafu kawaida
Ajali ina kinga, fuata sheria, heshimu wengine barabarani wala hakuna shida, watu ni wazembe kuvunja sheria wanachukulia ni ufahari. Utapona mara 100 lakini siku utaingia cha kike.
 
View attachment 2746766
Ajali hiyo imetokea leo asubuhi baada ya Dereva wa Pikipiki maarufu kama Bodaboda kuingia katika Barabara ya Mabasi Yaendayo Kasi (DART) kwenye Mataa ya kuelekea Lumumba karibu na Kituo cha Mwendokasi cha Fire na DIT Jijini Dar es Salaam.

Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam imethibitisha kifo pamoja na kutokea kwa ajali hiyo, ambapo imeeleza taarifa kamili itatolewa baadaye.
Kila mtu ashinde mechi zake:
Bodaboda anman wanavyochomekea magari na kusababisha ajali, ukimgonga wanakuvamia kwamba ni mzembe, ukimkwepa anapata ajali yeye anakimbia na trafick wakija wanasema wewe ndio mzembe:
Hizi Bodaboda tulishasema ni laana, tuna mashamba mengi watu wakalime , mjini zibaki pikipiki za kwendea kazini na sii hizi laana.
Mbaya zaidi eti mwandishi wa habari anasema Mwendokasinimegonga bodaboda wakati bodaboda ndio imegonga gari[treni haigongi gari ila gari ndio inagonga treni].

Bodaboda wapo mjini kisiasa, tunavuna tulichopanda.
 
Vijana wenzetu waache mazoea ya kihuni....

Ni kweli maisha yanapagawisha....ila hakuna kazi inayokosa MIIKO....

Bodaboda waikumbatie miiko hiyo....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Leo Bodaboda wote wakamatwe zile honi zitolewe ama pale kwenye batani ya honi iwekwe breki.
Bodaboda hata iwe kitu gani yeye anapiga honi badala ya kukamata breki:
Nyuma ya Bodaboda kuna ROHO YA FREE MASON.
 
Hizi pikipiki zinatengenezwa China na India, je umewahi kusikia nchi hizo zikipata haya Majanga?

Zamani kabla ya ujio wa Bodaboda kulikuwa na Honda, Kawasaki, Vespa na 110 ni kwa nini hapakuwa na shida hizi?

Zanzibar vijana karibu wote wana kipando Vespa kwa nini Zanzibar hakuna ajari?

Hizi bangi na visungura vitawamaliza Bodaboda na kutokufuata sheria za usalama barabani.

May be ndio kafara la ccm wala siyo Freemason.
 
Nacheka mazuri lakini, traffick hawakamati pikipiki maana wale vishandu ni bangi kwa kwenda front, wanavaa malapa, wanainamia upande mmoja kama wana anguka huku wakiwa kama wanageuka nyuma ila wanaenda mbele"
Ndio mtaji wa waliopo madarakani.
 
Back
Top Bottom