Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,305
- 26,815
Ukimkwepa unagonga wewe, yeye anakimbia polisi wakija wanaanza kukwambia "ooh wewe ni lena, mlevi, sijui unatokea wapi?bodaboda akili zao huwa wanaziacha nyumbani. ukiwaona barabarani wakwepe tu ili usiwapoteze.