Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,969
- 5,919
Hongereni bodaboda kwa kazi nzuri ila leo niseme ukweli hapa ili mbadikike na mpige kazi kisawasawa.
Najua mna bembeleza kwa lengo la kuvutia biashara ila wengine wana bembeleza kwa lengo la kupata utelezi.
Bodaboda hao wanawake mnaowachekea chekea wanacheza na akili zenu na kuchezea mafuta na hela zenu ili mpate hasara kubwa mfilisike na mfe masikini, fanyeni kazi na muwe serious kama madereva wengine wanaotoa huduma katika vyombo vya usafiri, kubembeleza mwanamke na kuongea kwa lugha laini laini wakati wa kudai malipo ni dalili za kutokutambua unachokifanya.
Mpe huduma ya usafiri ukimfikisha dai chako mapema rudi kabebe mwingine kama ni connection chukua namba mambo ya kuachakuchukua nauli kisa kakupa namba ni dalili za kukosa akili kama mwanaume mpambanaji.
Hao wanawake watawafilisi nyie enendeleni kuwachekeachekea, anakufilisi halafu anakucheka.