Boda boda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boda boda

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Duzente Siqwente, Sep 9, 2012.

 1. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ama kweli usafiri wa boda boda unasaidia sanaa wachina endeleeni kuzalishaa
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mbona umesahau kusema pia unaua kuliko all types of motorvehcle currently!
   
 3. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Napanda kwa tahadhari yan asiniendeshe kama tupo kwenye mashindano na pia nikwa ninashiida yakuwahi
   
 4. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red! mhh! kwema lakini swahiba?
   
 5. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye hiyo rangi ya mnyama! mhh! Habari ya j2?
   
 6. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  UMEPANDA KUANZIA WAPI? aisifuye mvua.... NENDA MNADANI DOM UKALE NYAMA YA UKWELI ONLY IF YOU ARE NOT VEGETARIAN. UKITOKA HUKO PITA ARUSHA KWA NJIA YA KONDOA-BABATI-ARUSHA NIKUPELEKE KWENYE MBUZI KWA MOROMBOO ULE MPAKA UBEBE. ANYWAY ENJOY YOUR LIFE.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Swaiba!
  Hapo si pamesahauliwa I tu mkuu ? Instead of motorvehicle ikaandikwa motorvehcle ! Au unayo mistake tofauti na hiyo? Ni kama alivyofasahau aliyefatia chini "nikiwa" aka'put "nikwa" kasahau I hivi nayo ni issue mkuu ?
  Ikakufanya ukaacha kutochangia topic ya mtoa mada ? Ukafatilia " I" ?
  Spell err ukizifatilia humu utakosa muda wa kutoa post/ku'share comments.
  Then ni rahisi sana tiny err to happen at late time !
  Sasa my dear toka huku , achana na kuwinda Digidigi twende kule kwenye Sredi ya "wakali wa hesabu" tukawinde Elephant !
   
 8. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  arushaone arusha ndo home cwez pakataa
   
 9. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa me mwnywe huwa napnda nikiwa na haraka nasty sio kila cku bt oll in oll znarahisisha
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  My fellow Duzente na wewe mtoa mada umesahau spell , kama mimi ngoja aje T.T.E ! (tickets train examiner)
   
 11. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahaaaa haya bhana wa kurekebishaaa
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mbona sikuona zawadi za Mosambique ? Then hivi kule Kisw kinaongelewa wapi kwa sana? Maputo au Pemba, Nakala, or Nampula ?
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  bodaboda ni jeneza lenye gurudumu mbili
   
 14. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  zawadi za mozambique zipo n kuhusu kiswahili kinaongelewa sehem kuu mbili Maputo n Nakala abt gfts zipo ww 2 hjanitafuta
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sijawahi panda boda boda na sitakaa...bado najipenda....bora nitembee kwa miguu au ka ni safari bora niahirishe
   
 16. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahaaaa mtoto wa mjini unaogopa nn?
   
Loading...