Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za watembea kwa miguu .Naomba Mamlaka husika iwataftie eneo maalumu kwa ajiri ya kusafirisha Abiria.