kivukoni

Kivukoni (Kata ya Kivukoni, in Swahili) is an administrative ward of the Ilala Municipical Council of the Dar es Salaam Region in Tanzania. Kivikoni's name come from the Swahili word meaning "a crossing place". The ward is bordered by Upanga East ward to the west, Kisutu ward to the southwest, and Kigamboni ward across the Kivukoni channel. The ward covers an area of 2.387 km2 (0.922 sq mi). Kivukoni ward is one of the most important wards in the country, as it is home to the Ikulu, which is the home of the president of Tanzania. Kivukoni ward is also home to the National Museum of Tanzania. According to the 2012 census, the ward had a total population of 6,742.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kadi za Sea taxi tunazotumia kuvuka Kigamboni zimekuwa zikikatwa hela bila ya kuwa tumetumia

    Wakazi wa Kigamboni na watumiaji wa Sea Taxi tumekuwa tukikumbana na changamoto ya salio kupotea kwenye kadi zetu. Mara nyingi unaweka, kwa mfano, shilingi 1,000 asubuhi ukitarajia zitakutosha kwa safari ya kwenda na kurudi, lakini unapofika jioni mashine inaonesha huna salio. Tatizo hili...
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

    Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji nafasi za kazi tunapata changamoto ya kutopatikana kwa Maafisa wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar

    Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu kutokuwepo kwa maafisa wa mfumo wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar es Salaam, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wa kazi wanaohitaji msaada wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza kwenye mfumo huo. Wiki mbili...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Maafisa wa Uvuvi wanatunyanyasa sana Wauza dagaa wa Kirumba Kivukoni

    Maafisa ya Maliasili na Uvuvi walioko Mwanza wanatunyanyasa sana sisi Wafanyabiashara wa dagaa, unakuta wanakuja pale Kirumba Kivukoni wanakamata mizigo hovyohovyo, hata kama una kibali wao wanakukamata tu. Baada yah apo wanakutafutia kosa na kuanza kuomba rushwa wakidanganya eti ni fine na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa kwa watembea kwa miguu

    Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za watembea kwa miguu .Naomba Mamlaka husika iwataftie eneo maalumu kwa ajiri ya kusafirisha Abiria.
  7. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kigamboni nawashauri usipite Kivukoni, pitia Darajani

    Kwa mkazi wa Kigamboni ambaye una ratiba ya kwenda mjini nakushauri tu pitia darajani kwa leo
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Upelelezi wapiga kalenda kesi vigogo wa CCM wanaodaiwa kumuua Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kilolo

    Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Mwendokasi Kivukoni jirekebisheni, muwe na kauli nzuri na tafuteni tiba ya kukosa "chenji", ni kero kwa Abiria

    Pale Kivukoni sehemu ya kukatia tiketi katika Kituo cha Mwendokasi pa hovyo sana. Kwanza abiria ni wengi wanasongamana mno wanagombea tiketi. Mtu unakomaa kwenye foleni hadi unafanikiwa kufika dirishani, hapo unakuwa umepambana hasa. Sasa unafika dirishani unataka ukate tiketi fasta fasta...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Choo cha Wanawake Kivukoni Magogoni usalama ni mdogo wakati wa usiku pia hakuna privacy

    Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa mchana abiria wanapokuwa hapo wakisubiri usafiri, watu wanakaa hadi karibu na mlango wa kuingia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

    Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi? Hebu tubadilike. Watu...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
Back
Top Bottom