Boda Boda Piga Kiki...

Boda Boda Piga Kiki...

Afande kanifurahisha, kawapa adhabu ya kiutu uzima, kawafanya wajione wajinga sana. Sio kila kosa lazima faini
 
Hahahahhaha Afande kanikumbusha 821 kj
OP Kikwete.
 
Afande wote wa tanzania wangekua kama huyu watanzania tungekua na furaha sana.
 
ngosha akiiona hiyo clip jamaa anapewa kanda maalum dar
 
Back
Top Bottom