Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,270
Nakubali kabisaa!!!π₯°π₯°
Sio bodaboda tu, mwanaume yeyote usiye na mahusiano nae ya kimapenzi hutakiwi kuwa na mazoea nae.
Kwamba hata mkeo boda wapite nae tu lo???!!!!!!!!π€¨π€¨π€π€
Utakubali wapite na wewe ilhali mimi nipo?Kwamba hata mkeo boda wapite nae tu lo???!!!!!!!!π€¨π€¨π€π€
Ndo nimekushangaa hapo love nawezaje kumpea mwingineπ!!??? Siweziiiiiii!Utakubali wapite na wewe ilhali mimi nipo?
Inapendeza sana...Ndo nimekushangaa hapo love nawezaje kumpea mwingineπ!!??? Siweziiiiiii!
Yeah me sina mambo meusi kama hao wengineWee sema kweli?! ππππ