Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,712
- 11,611
Mrembo kutoka Nigeria bobrisky kupitia IG yake ameposti picha ya star wa bongo fleva diamond platnumz, huku akionyesha ni jinsi gani anavutiwa naye
Gigy uyoMnaijeria katisha kwa kiswahili fasaha,hongera yake.
wapiii huo mwandiko wa Gigy mapesaaaahuyu kidampa kumbe anajua kiswahili hivi? Km nawaona lokole na Noel wanavyopigana vikumbo uwiiiiih lol.
wapiii huo mwandiko wa Gigy mapesaaaahuyu kidampa kumbe anajua kiswahili hivi? Km nawaona lokole na Noel wanavyopigana vikumbo uwiiiiih lol.
Na mond pia kamuweka insta Story, Bonge la kick