Bob Wine ana mke mzuri sana

Wapinzani hawajawahi kuwa serious, ety naye alitaka kuwa rais
 
Sky Eclat Dada uzuri /beauty is not a concept! It is relative.. Concepts are public, not private. "My Mother" is not a concept. Though beauty is not a concept, but a beautiful girl is appreciated by many! Take it easy Sky, Najikumbusha how to teach concepts from Prof Ishumi enzi hizo early 1980s!
 
Hebu ww gombea mkuu cheo cha urais tofaut na ccm kama hujapata asilimia 0.5 mwenzako kapata 34%
Mbona wengi walitabiri lowassa lkn hakuna kitu.? Sio kila mtu anakuwa rais tuu, mm hata nikigombania urais kupitia CCM bado ntapigwa za uso.
 
Mh! exceptional qualities alizonazo ni zipi ambazo Wine hana au mtu yeyote tanzania hana!
Jibu lako lipo kwenye katiba inayosema kuhusu vigezo vya kuwa rais, pia kuna uchaguzi wananchi wataamua huko. Kwahy unaweza ukawa na sifa lkn wananchi wakakukataa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…