Bob Marley vs Lucky Dube

Bob Marley vs Lucky Dube

BIBALITUMIA NUKUU NYINGI TOKA KWA WATU MASHUHURI MFANO WALTER RODNEY,HAILE SELASSIE,MARCUS MUZAYA GARVEY N.K,VITABU VITAKATIFU MFANO BIBLIA N.K LAKINI BWANA LUCKY DUBE ALITUMIA TUNGO ZAIDI
Mfano wa nyimbo za Bob.na Dube
BOB-WAR,GET UP STAND UP,RIDE NATTY RIDE
DUBE - GOD BLESS THE WOMEN,THE WAY IT IS,CHILDREN ON THE STREETS,CRAZY WORLD
 
Tuseme hivi.

1. Nyakati.
Bob na Luck wameishi nyakati tofauti kimuziki hata jumbe zao zilikuwa tofauti kimuziki. Ingawa kwa kiasi kikubwa wote wameimba kuhusu unyanyasaji, unyonyaji(rat race/gun &roses) uhalifu(victims), mapeniz(stir up/got u babe). Bob ni muanzilishi ,luck ni waendelezaji. Tukumbule pia Bob Marley ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuibadili kutoka tradition music ya marastafari--Nyabingi na kuupeleka kwenye commercial music--Reggae.. kina lucky wameimodernise zaid reggae--by then--kama walikuwa kuwa kina Bunny Wailer aliyekua band moja na bob--the wailers--muziki wa bunny ulilaanishwa zaidi kuliko wa bob.

2. Coverage
Bob alikuwa ni world wide icon/luck alikuwa zaid afrika. Kuna nyimbo moja ya Morgan Heritage inaitwa Forever wameittribute kwa Lucky--mule wanakili hawakujua kama kuna mkali wa Reggae yupo Afrika anaitwa Lucky dube

3. Tecnolojia.
Bob ameishi nyakati ambazo teknolojia ya vifaa vya muziki haikuwa imeadvance kama zama za luck dube..

BUT BOB NI MUASISI NI SAWA NA LEO TUULIZANE RANKIM/KRS ONE NA KINA FAT JOE/JA RULE NANI WAKALI.. Lucky kimsingi kama Peter Tosh--asingefariki---ndio angekua wa kulinganishwa nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa kiongozi. Bob ana mchango mkubwa sana kwenye mapinduzi ya reggae hivyo basi kila mmoja kati ya bob na luck ameacha legacy yake. Inategemea umekulia wakati upi 70s au 80s.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom