kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,119
Nampenda sana Luck Dube, msiba wake uliniuma zaidi ya Misiba yote Duniani lla Bob ni namba nyingine, nimepata kuona ducumentaly ya Bob kiukweli jamaa alizaliwa kwa sababu maalum.
Ukianza tu alivyo zaliwa baba mzungu mama mswahili, baba kumtosa mama akapambana. Hakika Bob ni mpango maalumu wa Mungu, kuonyesha binadamu wote ni sawa.
Tazama hata brand yake mpaka leo hipo sokoni Duniani kote, na ipo juu kiheshima zaidi kuliko brand yoyote ile Africa na Dunia. Japo waafrika hatuipi thamani kama wazungu.
Kutoa wanasiasa mashuhuli wa Afrika walio taka kuleta umoja wa Afrika Kama Mwl Nyerere, Mungu amlaze mahali pema baba wa Taifa huyu. Bob pia ni mtu aliyekuwa na mziki wa kuifanya Afrika kuwa moja.
Namu heshimu sana mtu mwenye ndoto za Afrika iwe moja, kwa vijana wasasa ni mtu kama Masud Kipanya, anafanya kazi nzuri sana sana. Hongera sana kaka Masud kupitia crew nzima ya Maisha plus. Endeleza ndoto zako maana kitendo cha kuwa kusanya vile vijana mataifa mbali mbali ni jambo zuri sana. Kazi imebaki kwa viongozi tulionao kuamua tuu kuhiunganisha Afrika kwa faida ya umoja wa vizazi vijavyo.