Bob Marley hakuwa Mwafrika

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,742
12,035
Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu.

Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi). Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile sellasie ambaye uzao wao upo bibliani.

Daaah naona kichwa kinafanya paa,ntamalizia baadae.

hqdefault.jpg
 
Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.
Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu.
Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi)
Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile sellasie ambaye uzao wao upo bibliani.
Daaah naona kichwa kinafanya paa,ntamalizia baadae.

hqdefault.jpg
Utakuwa umemiss ngada wewe
 
Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu.

Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi). Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile sellasie ambaye uzao wao upo bibliani.

Daaah naona kichwa kinafanya paa,ntamalizia baadae.

hqdefault.jpg
blessed be the Natural herb, cannabis Sativa.
Jah bless I n I Haile Sellasie highhhhhhhh
bomboclatttttttt,chant down babilon
babilon are witch rastaman...duuh cha malawi
 
Basi katika harakati za kumpaisha ntu mweusi,kuna watu kama kina Marcus Garvey,walikuwa na mpango wa kununua meli nyingi ili ziwasombe wa Afrika wote toka marekani(utumwani) na warudi kwao Afrika.
Nchi ya Ethiopia ilikuwa tayari ishatenga eneo na kuna marasta walipokelewa maeneo ya kusini mwa Ethiopia.
Bob alishawahi kumuimba Marcus katika wimbo wake wa Afrika UNite alisema namnukuu...Marcus Garvey said let it be done,I know you know who you are......
il_340x270.1130802645_30p5.jpg

 
Nikiangalia nyuzi zinazoanzishwa kipindi hiki na maiaka ya nyuma 2006 hadi 2011 naona tofauti kubwa sana. Hapa nakumbuka uzi fulani kumhusu Tuff Gong ulianzishwa na mkuu Kiranga miaka michache ilitopita, uzi ule wachangiaji wajijaza nondo zakutosha. Yani ukisoma hutaki uruke comment yoyote. Lakini sasa hivi naona mambo yamebadilika watu wanachangia ilimradi kuchangia tu.

Well, I'm not here to judge people, watu wanauhuru wachangie vile wanaona inawapendeza.

Nilikurudi kwa mtoa mada, je wewe mwafrika unadhani ni nani? Je kuwa na ngozi nyeusi ndiyo uafrika? Au ukiwa unaishi Afrika ndiyo Mwafrika? Jambo hili linatakiwa litolewe maana pana na si mtazamo wa juu juu tu.

Bob Marley al maarufu Tuff Gong anazo sifa zote kuonwa kama Mwafrika. Tena si mwafrika hivihivi tu, Bob alikuwa na mapenzi makubwa kwa Afrika na watu wake.

Ukiangalia documentary iliyopewa jina Bob Marley Story utaona Bob hakupata malezi yoyote toka kwa baba yeke. Mama yeke Bob, Cedella Booker alimlea Bob kama mtoto wa Kiafrika huko Nine Mile, country side. Watu ambao Bob alichangamana nap, alioongea nao wengi walikuwa wenye mitazamo ya Kiafrika. Bob aliona fahari kuwa mwafrika. Na aliishi kama mwafrika. Au niseme zaidi akiishi kwa misingi ya Kirastafari ambayo inapigania preservation of Afrikan image.

Ukisema Bob hakuwa Mwafrika kwasababu alikuwa na baba mzungu basis unapotoka tu. Kuwa mwafrika ni zaidi ya color of your skin. Kuwa Mwafrika ni kusimamia yale mambo yanatetea Afrikan personality. Leo ukienda Latin Amerika wapo watu weupe lakini wanajiona na kujitambukisha mizizi yao ni kutoka Afrika.

Nikirudi kwa His Imperial Majesty, yeye ni nembo yakutetea utu sio kwa watu weusi wa Afrika pekee bali kwa kila mtu anayependa haki na usawa.

Hakuna mtu anayefuatilia historia ya mtu mweusi alimjue His Majesty Haile Selassie. Huyu ni rightful ruler, King of King, Lion of Judah.

Nimalizie na Cannabis. Huu mmea ulitumika toka kipindi cha mfalme Suleiman. Kwenye utafiti wa ki-Archeologia inaelezwa watafiti walikuta mabaki ya marijuana na majivu katika bustani ya King Suleiman. Waebrania walitumia herbs kwaajili ya meditation. Pia mafuta yake yalichanganywa na mimiea mingine kuandaa mafuta yakumpata Mfalme wakati wakumfanya awe mfalme. Unapaswa ufahamu kuna aina 5 za mimea inayoheshimiwa miongoni mwa Hebrew society.

Pia ufahamu Buddhist na Hinduism wanatumia herbs katika meditation. Yapo mengi yakuwajuza hapa.
 
Back
Top Bottom