Bob Marley aliamini Mungu kweli?

so do we have any empirical evidence suggesting that we don't have such thing as god(not necessarily religious one)

You don't need empirical evidence to say something does not exist, you can't prove a negative. If something does exist, and you are disputing it's existence, those who say it does exist could disprove your notion simply by showing that it does exist.

On the other hand, you need empirical evidence to say something exists.

The onus is on the ones saying god does exist to show that god does.
 
Samahani Kiranga, nikikunukuu hapo...je wewe ni Atheist au Agnostic? As that will help me in understanding your question.

I am a redeemable atheist, and nobody has convinced me that god exists to make me denounce my atheism.

And if you say even atheism is based on faith, strictly speaking I wouldn't dispute that. There is nothing that is not based on faith by the way, we don't know that the sun will rise tomorrow - or that it wasn't extinguished five minutes ago for all we know because it takes longer than that for sunlight to reach us-, we presume from our past experience that the universe on the large scale is pretty orderly and predictable. That is faith, carrying on as if we know that which we do not know.

The question is how reasonable is your faith? What is the margin of error? Is your faith accommodating empiricism, calibration and convergence?
 
You don't need empirical evidence to say something does not exist, you can't prove a negative. If something does exist, and you are disputing it's existence, those who say it does exist could disprove your notion simply by showing that it does exist.

On the other hand, you need empirical evidence to say something exists.

The onus is on the ones saying god does exist to show that god does.

uliposema "dunia isingekuwa fyongo kama mungu angekuwepo" ulikuwa una-prove the positive?
 
Let me tell you guys,

mimi pia nilikuwa siamini uwepo wa Mungu, tena nilikuwa siamini Mungu yupo, Na kama Yupo nilikua naona also Satan ni idea ya mwanadamu ya kuona kuwa God ana adui. Nilikuwa namuunga mkono Anton LaVey kuwa 'Satan is another image of God in a mirror'.
Lakini, the more nilivyokuwa nasoma, the more nazidi kujiuliza maswali Mengi.

Then nilipoanza kusoma B.A Archaeology. Nikaanza kupata ufahamu nini chanzo cha maisha ya mwanadamu. Nikajua nini chanzo cha imani/dini.

Then, nikaanza kuamini kuwa vitu vyote kwa jinsi vilivyoumbwa lazima kuna FORCE fulani inayoviongoza. Nikaangalia Human Brain, Jicho, Human Evolution, The creation of the universe, Heartbeat, Mother Nature, n.k then nikajifunza kuwa kuna Force iliyopelekea vyote hivi, ambayo imeongoza mfumo wa mabadiliko wa vitu, wanyama na organs za viumbe. Hata Charles Darwin alipokuwa anazungumzia Evolution sio kwamba alikuwa against God, but against religion. Hivyo basi, now ninaamini kuwa lazima kuna Force ambayo ilikwepo, na bado ipo na itaendelea kuwepo, this force ndio inayooperate duniani. Hivyo naamini uwepo wa Mungu, lakini Mungu hana sura wala mwili, it is a spirit. Ila siamini dini kwa kuwa dini ziliwekwa na mwanadamu na ndio maana hamna kitabu cha dini kilichoandikwa Directly kutoka kwenye mkono wa Mungu.

Baada ya kuzisoma dini kubwa duniani, then nikapenda how Rastas believe maana it is a Spirituality not religious, kwamba it is not organised, kila mtu anapaswa kuamini anachoona ni haki kwa Mungu na kwa Mwanadamu na wanyama na sio kumdhuru jirani yako. Teach kwamba Mungu yupo na sio kwamba dini ndio mpaka zituambie hivyo bali kwa kuchunguza source of life. Watu wanafikiri Rastas ni kuvuta Bangi na kuwa na Dreads but that is not true, Rasta is more than that kwa kuwa ina deal na spritual, nature, respect, love, peace and OPEN MIND TO THINK LOGICALY.

Mimi sitaki kuhukumu imani ya Mtu, kama ni muislam shika imani yako, kama wewe ni mkristu au myahudi shika imani yako.

Ila, kama unakataa uwepo wa Mungu, just open your MIND and find the TRUTH. Maana kama huwezi kujibu maswali mfano
Nini chanzo cha Maisha?
Nini chanzo cha Evolution, Big Bang Theories e.t.c?
Then bado haujaweza kujitambua maana ni vyema kuwa na majibu kuliko kuwa na maswali yasiyo na majibu.

#Ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu I n' I
BUT don't you think it's invalid kuargue about " OPEN MIND TO THINK LOGICALY" halafu kwenye conclusion yako una-advocate " ni vyema kuwa na majibu kuliko kuwa na maswali yasiyo na majibu"?

Honestly, I think it's valid questions and right inquiries that makes the world go round, ndio maana dunia imefika hapa tulipofika, its because of questions and not answers.
 
jesus was sometimes referred to as the "son of man" accordingly christianity Jesus was God part and one in the trinity....matumizi ya neno "MAN" yanategemea context pia..I think he believed in GOD
 
Mkuu I n' I
BUT don't you think it's invalid kuargue about " OPEN MIND TO THINK LOGICALY" halafu kwenye conclusion yako una-advocate " ni vyema kuwa na majibu kuliko kuwa na maswali yasiyo na majibu"?

Honestly, I think it's valid questions and right inquiries that makes the world go round, ndio maana dunia imefika hapa tulipofika, its because of questions and not answers.

Asante mkuu. Katika hitimisho niliposema sometime ni bora kuwa na imani kuliko kuwa na swali lisilo na jibu. Baada ya kuwauliza wanaokataa uwepo wa Mungu, wakati hawajui chanzo cha maisha.

Asante.
 
Ukiamini kwamba Bob Marley anaamini katika mungu kwa sababu ya nyimbo zake hizo nyingine, basi ni lazima utatizwe na Get Up Stand Up. Unless useme Bob alikuwa ana appease the religious massive in Jamaica, alipochoka akajionyesha makucha yake halisi katika "Get Up Stand Up".

Ingelikuwa Get Up Stand Up ni nyimbo ya mwisho kabisa kutolewa na Bob Marley yenye kuhusisha Mungu, basi hii nadharia ya kuwa alipochoka ku-appease umma aliamua kuonyesha makucha yake ingelikuwa na nguvu.

Hivi sasa at most labda ni kuwa alikuwa aki-appease umma lakini akajisahau kwenye wimbo huu akateleza, akaonyesha makucha yake, kisha akarudi tena ku-appease kwa kutoa nyimbo nyengine zenye kuonyesha anaamini kwenye Mungu.

Tukiacha hilo, nadhani kuna possibility moja hatujaitaja. Kwa wale wenye kuamini Mungu (au hata wenye kuamini katika kitu chengine chochote) kiwango cha imani kinakawaida ya kupanda na kushuka, hususan kutokana na matukio mbali mbali ya wakati huo.

Mtu anapokuwa na hasira na Kibwetere kwa mfano, ni rahisi kusema maneno yanayoonyesha kupinga viongozi wote wa kidini na mafundisho yao. Lakini hii bado haimaanishi kuwa mtu huyo haamini uwepo wa Mungu.

Jee kulikuwa na chochote kilichopelekea imani yake kushuka (kama alikuwa nayo)? Hatujui or to be more precise, sijui.
 
hiki ndicho kinacho mfanya Bob Marley kuwa supernatural katika watunzi ambao walisha wahai toke,mtunz bora niyule ambaye huwafanya watu kutafakari kwakina utunzi wake nakila mmoja akaja na maana yake alivyoelewa...!!!Bob believed in God(Jah)
 
Wote tunamwamini Mungu japo wengine wanaamini wasiyajua kama mawe lakini hatimaye supernatural power inatuunganisha na huyo ni MUNGU
 
Asante mkuu. Katika hitimisho niliposema sometime ni bora kuwa na imani kuliko kuwa na swali lisilo na jibu. Baada ya kuwauliza wanaokataa uwepo wa Mungu, wakati hawajui chanzo cha maisha.

Asante.

Huyu hapa anatuambia saa nyingine, ukipoteza shilingi gizani, ni bora kuchagua kona tu na kuamini kwamba shilingi iko hapa bila kujali kwamba ipo kweli au haipo.

Anachotuambia ni kwamba kwake yeye kujifariji ni bora kuliko ukweli.

Whether anachosema ni kweli au si kweli, lakini hakibadilishi ukweli.

Kama hatujui chanzo cha maisha tunachotakiwa kufanya ni research zaidi ili kugundua vitu polepole, hata kama tusipopata jibu kamili sie leo, watakuja watu kuendelezea tutakapoachia.

Hii habari ya kukubali tu ni mungu kwa sababu hatuna jibu inatubweteza tusipige hatua.

Ni sawa na mtu aulize "square root ya 16 ni nini?"

Mmoja aseme "Swali gumu sana, bora tu nijiaminie kwamba jibu ni 1". (swali gumu sana, ngoja tujiaminie tu jibu ni mungu")

Mwingine aseme, swali gumu, siwezi kupata jibu leo, lakini ngoja nianze mchakato. Naona jibu lazima liwe dogo kuliko 16 kwa sababu square root ya namba ni lazima iwe ndogo zaidi. Mwingine akaendelezea, hebu tujaribu 8 ambayo ni nusu ya 16 (8 x8 = 64) hapana, si jibu. Mwingine akasema ngoja tujaribu nusu ya nane ambayo ni 4 (4 x 4 = 16) wamepata jibu.

Kwa hiyo, ingawa sayansi haina jibu, polepole inaelekea kwenye jibu zuri zaidi kwa sababu ina mechanism ya self correction and convergence towards a more robustly verifiable answer.

Give me that over blind faith any day of the year.
 
Kwenye mijadala kama hii(yenye imani za kimungu)..mara zote Kiranga anakuwa mbele kwa alama/point nyingi tu,nafikiri ni kutokana na upande alioamua kuegemea wa kutoamini chochote.

Anyway_wengi tunaamini kwa mazoea,kwa kutojua mazingira yetu na hofu tulizojengewa na hasa ya kwenda kuchomwa moto tutakapo kufa....kama tusingekuwa tunakufa nadhani hizi mbwembwe za dini zisingekuwepo.

Nb;hata mimi ni mfuasi wa mojawapo ya hizi dini za mapokeo.
 
Kama unajua sayansi vizuri, utakuwa unatambua kuwa, kabla ya research au experiment yoyote kuna hatua ya mwanzo ya kuchambua, ambayo unaelezea unahisi jibu au hitimisho la research litakuwa ni lipi. Kuna nia na madhumuni ya kipengele hicho katika steps za experiment, then ukipata jibu, unaformulate hypothesis na kutest kama inaendana na mawazo na dhamira uliyokuwa unaihisi, ni maajabu kwa great thinker kukataa point akiwa hana points za kuipinga hoja au kuwa na idea yoyote.

Beside,,

Mkuu, mimi sijakulazimisha uamini mimi ninavyojua, kila mtu ana haki ya kuamini ambacho anaona ni right.

Peace!
 
GeT UP, AND STAND UP FOR YOUR RIGHT, USITEGEMEE MANENO NA MAFUNDISHO YA WATU AU DINI KUISHI SPIRITUALLY.
 
Sayansi nzuri haisemi inahisi jibu la reserach litakuwa lipi. Kitendo cha kuanza kuhisi jibu la research litakuwa lipi ni kuharibu research. Unaweza kusema domain ya jibu la research inategemewa kuwa wapi (kwa mfano square root ya 16 by definition ni ndogo kuliko 16), lakini ukisema jibu unategemea liwe lipi (4) unaondoa openmindedness. Hata kama una jibu lako unalotegemea huwezi kuliweka formally kwa sababu sayansi hairuhusu mambo ya "gut feeling". Na kama unajua jibu litakuwa lipi unafanya research ili iweje sasa? Unaweza kusema jibu ni 4 ukajikuta uko inaccurate kwa sababu jibu halisi ni +/- 4 !

Angalau sayansi inaruhusu testing your premises, whatever they are. Dini ukitaka ku test unaitwa heathen, pagan, infidel etc.

Kwa kufuatisha mfano wangu wa kihesabu hapo juu, kisayansi ukiulizwa "What is the square root of 16?" hata kama hujui jibu kamili, lakini unajua kwamba square root ya 16 ni ndogo kuliko 16, jibu lolote utakalopewa kitu cha kwanza kufanya ni kulipitisha katika initial test ya number line.

Mtu akikwambia jibu ni 23, utaanza kwa kulipima jibu, je 23 ni kubwa zaidi au ni ndogo zaidi ya 16 katika number line?

Utakuta ni kubwa zaidi. Hivyo haiwezi kuwa square root ya 16.

Ukiambiwa 1, utaona ni ndogo zaidi. Kwa hiyo ina uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa square root ya 16 kwa mujibu wa test yako. Lakini kuna test ya pili. Ili namba kuwa square root ya 16, ni lazima upate 16 ukiizidisha kwa yenyewe. Ukizidisha 1 x1 utapata 1 na hivyo utajua si jibu, jibu lipo kati ya 1 na 16.

Kuhusu habari ya kila mtu kuwa na haki ya kuamini anachotaka, naona hunisomi vizuri. Kwa sababu ungenisoma vizuri ungegundua huna haja ya kurudia nilichokwisha kukisema tayari.

Nimesema ni ruhusa kuamini sio tu mungu, bali hata vibwengo na Santa Claus anayekaa North Pole anayekuja dirishani na kuwawekea watoto zawadi za Krismasi usiku wa kuamkia Krismasi. Ruksa.

Lakini kurudia swali nilikwishawahi kuuliza hapo mwanzo, lililorudiwa na Nyani Ngabu katika uzi huu, unajua tofauti kati ya kuamini na kujua?

Wewe unaamini katika uwepo wa mungu au unajua kwamba mungu yupo?

Huwezi kuamini na kujua kwa wakati mmoja. Unachoamini huwezi kuwa unakijua. Unachokijua huwezi kukiamini. Definition ya kuamini inakataza kujua. Ukishajua kwamba mungu yupo, kusema "naamini mungu yupo" itakuwa cheating kama yule mtu ambaye anajua tiketi gani ya bahati nasibu itashinda halafu aende kuisaka maduka yote mpaka aipate. Huyu hajacheza bahati nasibu, huyu ana uhakika.

Vivyo hivyo, ukiamini kwamba mungu yupo maana yake huna hakika kama yupo.Imani maana yake ni kufanya kitu bila ya kuwa na hakika, kwenda kwa kufikiri tu.

Sasa wewe unaamini kwamba mungu yupo (bila kujua kwa uhakika) ana unajua kwamba mungu yupo (kwa uhakika)?
 
Naona sehemu hii ya maelezo ya IGWE hujaielewa bado.

nafikiri ni kutokana na upande alioamua kuegemea wa kutoamini chochote.

Hujaelewa kwamba IGWE is not so much endorsing Kiranga the person as he is endorsing the philosophy of research, test, verification, re-calibration, peer review etc.

Ungeelewa hilo, usingeweza kumshusha IGWE kwamba asimame mwenyewe na kuacha kutegemea mafundisho ya watu au dini.

Kati ya IGWE na mimi tunaosema kwamba usiamini kitu chochote, kifanyie verifications and tests mpaka ukielewe mwenyewe bila imani ya mapokeo (kama vile kuamini "mungu yupo" kwa sababu ndo tulichoaminishwa tangu utoto) na wewe unayetaka tuendelee kuamini mungu yupo kwa sababu tu, kwa kutumia maneno yako mwenyewe "sometime ni bora kuwa na imani kuliko kuwa na swali lisilo na jibu" nani ana stand up as an individual kutaka kupata jibu la kueleweka hapa?

Wewe umesha surrender haki yako ya ku "stand up for your right" kwa kukubali "sometime ni bora kuwa na imani kuliko kuwa na swali lisilo na jibu".

Hivi wewe unaweza kumfundisha mtu yeyote kuhusu "stand up for your right"?

Don't you know that rights comes with responsibilities?

That if you are so bent on standing up for your rights, you shouldn't be so easy on giving someone else (or some tradition) the right to determine your cosmogony.

"Get up, Stand Up" stands in the face of any complacency triggered by isms and schisms, and for individual examination.

We sick an' tired of-a your ism-skism game - translation don't bring religion, division and societal proprietary when it comes to matters of individual discernment.

Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord. - translation don't use the authority of Jesus' name to stamp your human desires like social subjugation

We know when we understand: Almighty god is a living man. - translationwe know that God was created by man, almighty god is a living man, there is a living man who is playing almighty god.

You can fool some people sometimes, - translation you can get away with making us believe in god for some time
But you can't fool all the people all the time. - translation but all of us are not so dumb to believe in your god idea all the time

So now we see the light (what you gonna do?), - translation now that you can see the lie
We gonna stand up for our rights! (yeah, yeah, yeah! ) - translation are you going to continue believing in a nonexistent god or stand up and examine things on your own?
 
Wote tunamwamini Mungu japo wengine wanaamini wasiyajua kama mawe lakini hatimaye supernatural power inatuunganisha na huyo ni MUNGU

Kuamini hata vibwengo unaruhusiwa.

Je, kuna yeyote anayejua kwamba kuna mungu?
 
Nadhani wewe ndio hujanielewa mimi vizuri. Ndio maana niliwekea rangi maneno ya IGWE niliyokuwa nimeyachagua katika kujibu.
 
Sayansi nzuri haisemi inahisi jibu la reserach litakuwa lipi. Kitendo cha kuanza kuhisi jibu la research litakuwa lipi ni kuharibu research. Unaweza kusema domain ya jibu la research inategemewa kuwa wapi (kwa mfano square root ya 16 by definition ni ndogo kuliko 16), lakini ukisema jibu unategemea liwe lipi (4) unaondoa openmindedness. Hata kama una jibu lako unalotegemea huwezi kuliweka formally kwa sababu sayansi hairuhusu mambo ya "gut feeling". Na kama unajua jibu litakuwa lipi unafanya research ili iweje sasa? Unaweza kusema jibu ni 4 ukajikuta uko inaccurate kwa sababu jibu halisi ni +/- 4 !

Angalau sayansi inaruhusu testing your premises, whatever they are. Dini ukitaka ku test unaitwa heathen, pagan, infidel etc.

Kwa kufuatisha mfano wangu wa kihesabu hapo juu, kisayansi ukiulizwa "What is the square root of 16?" hata kama hujui jibu kamili, lakini unajua kwamba square root ya 16 ni ndogo kuliko 16, jibu lolote utakalopewa kitu cha kwanza kufanya ni kulipitisha katika initial test ya number line.

Mtu akikwambia jibu ni 23, utaanza kwa kulipima jibu, je 23 ni kubwa zaidi au ni ndogo zaidi ya 16 katika number line?

Utakuta ni kubwa zaidi. Hivyo haiwezi kuwa square root ya 16.

Ukiambiwa 1, utaona ni ndogo zaidi. Kwa hiyo ina uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa square root ya 16 kwa mujibu wa test yako. Lakini kuna test ya pili. Ili namba kuwa square root ya 16, ni lazima upate 16 ukiizidisha kwa yenyewe. Ukizidisha 1 x1 utapata 1 na hivyo utajua si jibu, jibu lipo kati ya 1 na 16.

Kuhusu habari ya kila mtu kuwa na haki ya kuamini anachotaka, naona hunisomi vizuri. Kwa sababu ungenisoma vizuri ungegundua huna haja ya kurudia nilichokwisha kukisema tayari.

Nimesema ni ruhusa kuamini sio tu mungu, bali hata vibwengo na Santa Claus anayekaa North Pole anayekuja dirishani na kuwawekea watoto zawadi za Krismasi usiku wa kuamkia Krismasi. Ruksa.

Lakini kurudia swali nilikwishawahi kuuliza hapo mwanzo, lililorudiwa na Nyani Ngabu katika uzi huu, unajua tofauti kati ya kuamini na kujua?

Wewe unaamini katika uwepo wa mungu au unajua kwamba mungu yupo?

Huwezi kuamini na kujua kwa wakati mmoja. Unachoamini huwezi kuwa unakijua. Unachokijua huwezi kukiamini. Definition ya kuamini inakataza kujua. Ukishajua kwamba mungu yupo, kusema "naamini mungu yupo" itakuwa cheating kama yule mtu ambaye anajua tiketi gani ya bahati nasibu itashinda halafu aende kuisaka maduka yote mpaka aipate. Huyu hajacheza bahati nasibu, huyu ana uhakika.

Vivyo hivyo, ukiamini kwamba mungu yupo maana yake huna hakika kama yupo.Imani maana yake ni kufanya kitu bila ya kuwa na hakika, kwenda kwa kufikiri tu.

Sasa wewe unaamini kwamba mungu yupo (bila kujua kwa uhakika) ana unajua kwamba mungu yupo (kwa uhakika)?

===> Sayansi ina hatua zifuatazo http://www.sciencebuddies.org/science-fair-projects/project_scientific_method.shtml
 
Back
Top Bottom