johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,956
- 141,942
Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba Bob Chacha Wangwe amesema Wakili Fatma Karume ni kada wa CCM mwenye kupenda mabadiliko.
Bob alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma aliyetaka kujua yeye Bob Wangwe na wakili wake Fatma Karume ni wanachama wa chama gani.
Ndipo Bob alipomjibu kuwa yeye ni mwanachama wa Chadema na Fatma ni kada mtiifu wa CCM mwenye kupenda mabadiliko.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!