Bob Chacha Wangwe: Wakili msomi Fatma Karume aka Shangazi ni kada wa CCM anayependa mabadiliko

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,646
2,000
Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba Bob Chacha Wangwe amesema Wakili Fatma Karume ni kada wa CCM mwenye kupenda mabadiliko.
Bob alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma aliyetaka kujua yeye Bob Wangwe na wakili wake Fatma Karume ni wanachama wa chama gani.

Ndipo Bob alipomjibu kuwa yeye ni mwanachama wa Chadema na Fatma ni kada mtiifu wa CCM mwenye kupenda mabadiliko.

Source Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,148
2,000
Kwa ambao hatufuatilii sana siasa, nimekuja kumfahamu Bob baada ya kushida kesi tu.

Hebu mwenye wasifu wake tafadhali anisaidie na kwa nini kila anapotajwa, wanasema ni mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, inamaana bila kusema hivyo yeye binafsi hafahamiki? Au baba yake alikuwa nani hasa hapa nchini?
 
Baba yake alikuwa ni mbunge wa Tarime kwa tiketi ya Chadema ila alifariki kwa ajali ya gari akitokea bungeni jijini Dodoma kuja Dsm!
 
Atclkwanza

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
823
1,000

Chacha Wangwe alikuwa MAKAMU MWENYEKITI wa chadema na mbunge wa Tarime ,alifariki kwenye ajali ya gari akitokea bungeni kuelekea Dar
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,148
2,000
Baba yake alikuwa ni mbunge wa Tarime kwa tiketi ya Chadema ila alifariki kwa ajali ya gari akitokea bungeni jijini Dodoma kuja Dsm!
Nimekupata mkuu. Ila naomba kuongeza swali, umaarufu wa Bob na umaarufu wa baba yake, nani alikuwa famous sana hapa nchini?
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,148
2,000
Chacha Wangwe alikuwa MAKAMU MWENYEKITI wa chadema na mbunge wa Tarime ,alifariki kwenye ajali ya gari akitokea bungeni kuelekea Dar
okey, hapo kwenye umakamu mwenyekiti ndio nadhani kunafanya waandishi wa habari wasisitizie jina lake kila mara mtoto wake anapotajwa.
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,200
2,000
Fatma Karume alikuwa mwana ccm. Badae akawa Cuf akaona hapati kiki sana. Maana CUF wanachama wake sio watu wa kiki japo ina wasomi wengi. Akaja chadema. Ila enzi za jk ni kweli alikuwa mwanaccm sababu alipata kila alichotaka bila jasho.
 
Yawezekana mkuu hicho kifo maccm yalijaribu kumhusisha mbowe lakini wakulya very understanding kwenye uchaguzi wa marudio bado wakaangukia pua.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
8,588
2,000
Umemaliza kuandika huu uzi au utaendelea baadaye? Sitaki kuamini kwamba umeandika kutuambia tu kwamba Fatma Karume ni CCM na Wangwe ni Chadema!
Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba Bob Chacha Wangwe amesema Wakili Fatma Karume ni kada wa CCM mwenye kupenda mabadiliko.
Bob alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma aliyetaka kujua yeye Bob Wangwe na wakili wake Fatma Karume ni wanachama wa chama gani.

Ndipo Bob alipomjibu kuwa yeye ni mwanachama wa Chadema na Fatma ni kada mtiifu wa CCM mwenye kupenda mabadiliko.

Source Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom