Boat ya pili, sasa si tutakwisha?

Boat ya pili, sasa si tutakwisha?

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Jana kuna boat nyingine ilizimika pale pale kwenye ule mkondo. Ilikuwa patashika watu waligombania maboya,huku wengine wakitaka kuruka. Du ilikuwa majira ya saa nane-tisa alasiri. "Mungu ibariki Tanzania"
 
patashika watu waligombania maboya
Pumbavu wakubwa, wakati wanapanda meli hawakuuliza kama maboya yanatosha au hayatoshi, hata wiki moja haijaisha tokea dude lingine liue halafu unaenda kupanda chuma chakavu maji marefu bila kujua kama kuna maboya? Acha tufe.
 
hivi zina kaguliwa kwa umakini?? tutakufa kama kuku.
 
Back
Top Bottom