Hii picha ya boarding wakishemsha maji kwa ajili ya kuua kunguni
Tanga tech
Mungu aniepushe nao,sijawahi kumuona kunguni live!
kuna mwenye picha yake?
google neno "kunguni" utapata picha yake...
watu nane mbona eti gugo haijui neno kunguni
hewala HF...ukigoogle utapata kuona kamoyo kalikotobolewa na mshale huku vidamu vinachuruzika...halafu chini kuna maneno "ai misi yu"..
Hahahaha nimekaona aiseee hebu kazuie usije ishiwa damu bureee
nisaidie basi kukatia plasta atii...