Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 268
- 760
Daah ngoja kesho niwacheki ila kila nikiwaza jinsi nitakavojieleza kwa alienipa ela kuwa tunaweza poteza ela bure nachokasina hakika sana maan hata nami nilipojibiwa hivyo sikuelewa vizur ebu jaribu nawe kuwasiliana nao
Ni huu mkopo wa diploma mkuu, dirisha liko wazi bado.Kwani muda wa nyie kuomba mkopo si umeisha au wamewaongezeeni?